Home » Tanzania

Tanzania

20 April 2016
WAZIRI MKUU AONGOZA WAKAZI WA DODOMA MAZISHI YA ASKOFU ISUJA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya waumini na wakazi wa mkoa wa Dodoma katika mazishi ya Mhashamu Askofu Mstaafu, Mathias Isuja wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma. Amesema kifo hicho ni pigo kwa watu wote na si kwa kanisa pekee kwa sababu walimtegemea kulisaidia Taifa... [Read More]
20 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mhandisi Paskasi Muragili kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA). Taarifa iliyotolewa leo tarehe 20 Aprili, 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mhandisi Paskasi Muragili umeanzia tarehe 17 Februari, 2016.... [Read More]
19 April 2016
Rais Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Bw. Wilson Kabwe na kuagiza vyombo vinavyohusika kufanya uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili za kusaini mikataba iliyosababisha serikali kupoteza mapato. Dkt. Magufuli ametangaza uamuzi huo wakati akitoa hotuba ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni, baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar... [Read More]
19 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Aprili, 2016 amefungua rasmi Daraja la Kigamboni linalounganisha usafiri wa barabara kati Kigamboni na Kurasini Jiji la Dar es salaam na amependekeza Daraja hilo liitwe Daraja la Nyerere (Nyerere Bridge). Sherehe za ufunguzi wa daraja hilo kubwa na la kipekee kwa... [Read More]
19 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Ally Salum Hapi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam. Bw. Ally Salum Hapi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Bw. Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Uteuzi wa Bwana Ally Salum Hapi... [Read More]
19 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua #0000FF">Bw. Hamphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara. Bw. Hamphrey Polepole anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Musoma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Mstaafu) Zelothe Steven ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.... [Read More]
14 April 2016
Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhilifu. Katika habari zilizosambazwana watu wasiojulikana zinasema kwamba kampuni ya infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka katika kampuni ya Lugumi, jambo... [Read More]
12 April 2016
 Serikali ya Jamuhuri wa Mungano wa Tanzania imesema upatikanaji wa takwimu sahihi za watu wanaosihi na ulemavu nchini ni muhimu katika mipango kazi ya serikali na maendeleo kwa jumla. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa sensa za watu wanaoishi na ulemavu za mwaka 2015, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu),Dkt Abdallah Possi... [Read More]
12 April 2016
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa daraja la juu la watembea kwa miguu eneo la Buguruni Chama, Dar es Salaam wiki hii.
12 April 2016
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini (Nida) imesema itaanza kufanya malipo ya madai ya wafanyakazi wake 597 waliokatishwa mkataba na mamlaka hiyo hivi karibuni.   Taarifa iliyotolewa jana na Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Modestus Kipilimba, ilisema malipo hayo yataanza kulipwa kesho asubuhi kwenye ofisi za mamlaka hiyo zilizopo katika... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania