Home » Biashara

Biashara

06 September 2018
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudeley Jensen Natal akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kabla ya kuingia katika eneo hilo. Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya akiangalia pasi ya kusafiria ya anayedaiwa kuwa mwekezaji wa katika shamba la Kibo and Kikafu Estate, Trevor Robert raia wa Zimbabwe ambalo anatajwa kutokuwa na... [Read More]
23 February 2018
Na Hamza Temba, WMU, Muheza Tanga .......................................................................... Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kujenga kituo cha ulinzi cha kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto zigi kilichopo ndani ya Hifadhi ya Mazingira Asilia... [Read More]
21 December 2017
Ubia wenye utata kati ya serikali na wawekezaji SIKILIZA HAPA Taarifa kwamba kampuni ya TTCL sasa inashikilia mkia wa kibisahara katika sekta ya mawasilianonchini Tanzania kutokana na serikali kuwakaribisha wawekezaji wenye mgongano wa kimaslahi katika sekta hii zinayo historia ndefu sasa. TTCL ilianzishwa kwa mujibu wa sheria Na.20 ya 1993 na... [Read More]
29 November 2017
Na Mwandishi wetu   Mfumo wa Kukusanya Mapato Kielekroniki (eRCS) umeonyesha mafanikio makubwa kwa miezi mitatu ya mwanzo ya Julai, Agosti na Septemba 2017, baada ya Makusanyo ya Kodi kwa Upande wa Zanzibar (ZRB) kupitia eRCS kufikia Shilingi Bilioni.7.2, ukilinganisha na Shilingi Bilioni 3.5, ZRB walizokusanya kipindi Kama hicho mwaka 2016 kabla... [Read More]
09 November 2017
  Waziri wa Madini, Angela Kairuki amesema kuwa serikali inataraji kupata mrabaha zaidi katika madini ya Almasi yaliyokamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere kutoka kwa Kampuni ya Williamson Diamond iliyokuwa ikitaka kutoroshwa madini nchini kwenda Ubelgiji. Waziri Kairuki amesema hayo alipokuwa akizungumza na Waandishi... [Read More]
05 June 2017
WAZIRI WA MALISILI NA UTALII AZINDUA MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII NA VIWANDA MKOANI KILIMANJARO.   Waziri wa Malisili na Utalii,Prof Jumanne Maghembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho ya tatu ya kimataifa ya Utalii yanayofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu Ushirika mjini Moshi. Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Devota... [Read More]
01 May 2017
Hatimaye anga ya mkoa wa Ruvuma Yasikika sauti ya ndege aina ya bombardier Baada ya kipindi cha miaka 22 kupita tangu shirika la ndege Tanzania ATCL kusitisha safari zake mkoani Ruvuma. Leo hii shirika limeanza rasimi kutoa huduma za usafiri huo.
14 February 2017
Utegemezi wa dawa za kulevya ni hali ya kuugua au isiyo ya kawaida ambayo hutokana na matumizi ya dawa ya mara kwa mara. Tatizo la dawa za kulevya linahusisha uendelezaji matumizi sugu ya dawa hadi kufikia tabia ya kutafuta dawa za kulevya, kuwa katika hatari ya kurejelea matumizi na upungufu wa uwezo wa kukabiliana na visisimuaji vya kuridhisha... [Read More]
10 October 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 06 Oktoba, 2016 amezindua kiwanda cha kusindika matunda kinachomilikiwa na kampuni za kitanzania za Bakhresa katika eneo la Mwandege, Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Kiwanda hicho ni miongoni mwa viwanda 13 vinavyomilikiwa na kampuni za Bakhresa vilivyopo Dar es Salaam na... [Read More]

Pages

Subscribe to Biashara