Home » Nje ya Afrika

Nje ya Afrika

29 December 2020
Apu Sarker alionesha viganja vya mikono kwa njia ya video akiwa nyumbani Bangladesh. Mara ya kwanza hakuna kilichoonekana tofauti lakini baada ya kutazamwa kwa karibu, ikaonekana mkono wake hauna ala zozote vidoleni. Apo, 22, anaishi na familia yake katika kijiji cha kaskazini mwa mji wa Rajshahi. Alikuwa akifanyakazi kama muuguzi msaidizi hadi... [Read More]
27 December 2018
Usiyoyajua kuhusu maandamano ya Ufaransa Prof. Dr. Kudret BÜLBÜL Nchini Ufaransa na katika baadhi ya mataifa ya ulaya kwa mawiki kadhaa sasa tumeshuhudia maandamano makubwa ambayo waliyaita “vizibao vya njano”, tumeshuhudia moto ukiwaka. Vifo pia vilikuwako katika matukio hayo, Nchini Ufaransa mwishoni mwa wiki iliyopita peke yake kwa mujibu wa... [Read More]
23 February 2018
   Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Poland Mhe. Krzysztof Szczerski  wakati alipoleta salamu za Rais wa Poland na mwaliko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, mapema hii leo jijini Dar es Salaam.  Waziri wa Habari, Utamaduni,... [Read More]
20 June 2017
  Baadhi yetu huwaita wenye hali hii “taahira” – neno la asili ya Kiarabu  lenye maana “mtu asiye sawa” (wazimu, chizi, bwege, nk).  Sahihi ni “mtindio ubongo” – kwa Kiingereza “Down Syndrome”....   Baadhi ya taswira zake ni : kufikiri na kuzungumza taratibu, kigugumizi,  mwili mfupi,  utofauti wa tambo la kichwa,vidole vya mikono na miguu,... [Read More]
20 April 2017
Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May kuitisha uchaguzi wa Mapema, hatimaye Bunge la nchi hiyo limeunga mkono hoja ya Waziri Mkuu Theresa May ya kufanya uchaguzi wa mapema. Sasa uchaguzi Mkuu wa Uingereza utafanyika Juni 8 , 2017. Theresa May, ametaka idhini kutoka kwa raia wa Uingereza katika kuendeleza mazungumzo ya mchakato... [Read More]
17 November 2016
#0000CD">UZINDUZI WA KITABU CHA USHIRIKIANO NA USWIS                                            
11 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Novemba, 2016 amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samuel John Sitta aliyefariki dunia tarehe 07 Novemba, 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini... [Read More]
11 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Novemba, 2016 amewaongoza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samuel John Sitta aliyefariki dunia tarehe 07 Novemba, 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini... [Read More]
09 November 2016
Donald Trump amemshinda Hillary Clinton katika matokeo ya uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali. Bi Clinton amempigia simu Bw Trump kumpongeza kwa ushindi wake. Bw Trump alikuwa ameshinda majimbo mengi muhimu na kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda. Alikuwa ameshinda Ohio, Florida, na North Carolina, ingawa Bi Clinton alishinda... [Read More]
12 October 2016
Rais wa Urusi Vladimir Poutine ameamua kuahirisha ziara yake jijini Paris nchini Ufaransa ambayo ilipangwa kufanyika Octoba 19 ambako alitarajiwa kuzungumza na mwenyeji wake Francois Hollande.   Kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya Kremlin jijini Moscou Dmitri Peskov, ziara hiyo imeahirishwa kwa sasa, itafanyika pale tu rais wa Ufaransa Francois... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Nje ya Afrika