Home » Tanzania

Tanzania

13 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewathibitisha watendaji wakuu wa taasisi mbili za serikali. Waliothibitishwa ni Bw. Alphayo Kidata, aliyekuwa Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambaye anakuwa Kamishna Mkuu wa TRA, na Bw. Valentino Mlowola aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya... [Read More]

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa *Wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao *13 ni wapya, *7 Wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, *5 wamehamishwa vituo vya kazi na *1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe. Uteuzi huo umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Mussa Ibrahim... [Read More]
11 March 2016
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla ametoa siku tatu kwa uongozi wa Hospitali ya teule ya rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi kufunga chumba cha kuhifadhi maiti (Mochwari) baada ya kubaini matatizo mbalimbali baada ya kufanya ziara katika hospitali hiyo.   Katika ziara hiyo, Dk. Kigwangalla alibaini... [Read More]
10 March 2016
Rais Dkt. Magufuli amemuagiza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Beno Ndulu kupitia upya orodha ya wafanyakazi wa Benki hiyo, na kuwaondoa mara moja wale wote ambao hawana ulazima wa kuwa wafanyakazi katika benki hiyo.
10 March 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemuagiza Gavana wa BOT Prof. Beno Ndulu kupia upya orodha ya wafanyakazi 1,391 na kuwaondoa ambao hawana ulazima wa kuwepo  BOT.
10 March 2016
  Ujumbe kutoka Radio France Internationale (RFI) wakati wa kikao na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura Mazungumzo yalihusu kuimarisha uhusiano kati ya Nchi hizi mbili Ufaransa na Tanzania katika masuala ya habari kupitia TBC na RFI  Karibu tena Tanzania, Pokea Zawadi.
09 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Maalim Seif Shariff Hamad, katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam, ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelzwa kwa matibabu. Pamoja na kumpa mkono... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania