Home » Tanzania » Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoihusisha na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhilifu.

Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoihusisha na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhilifu.

14 April 2016 | Tanzania

Kampuni ya INFOSYS IPS (T) LTD imekanusha taarifa zinazoenezwa katika mitandao ya kijamii kwamba kampuni hiyo inahusika na inashirikirikiana na Lugumi Enterprises katika kashfa ya ubadhilifu.

Katika habari zilizosambazwana watu wasiojulikana zinasema kwamba kampuni ya infosys ilipokea mabilioni ya shilingi kutoka katika kampuni ya Lugumi, jambo ambalo siyo la kweli na nilakupuuzwa na umma.

'Hatujawahi kufanya biashara na kampuni ya Lugumi Enterprises' Amesisitiza Bwana Sweki Donald Naibu Meneja Mkuu Infosys ips (T) LTD.

Ad