Home » Tanzania

Tanzania

20 March 2016
LINK https://twitter.com/FocusMedia_Pro, http://zec.go.tz/en/
19 March 2016
  Umoja wa Rufaa ya Wananchi URUWA wazungumzia Amani ya Zanzibar
  Mwenyekiti wa Umoja wa Rufaa ya Wananchi (URUWA) John Shibuda (katikati) akisistiza jambo kwa waandishi wa Habari wakati umoja huo walipokuwa wakizungumzia Amani ya Zanzibar.    
19 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa Taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo. KWANZA, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Profesa Godius Kahyarara kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Uteuzi huu umefanyika kwa mujibu wa Sheria ya NSSF... [Read More]
18 March 2016
Vyama 12 visivyokuwa na wabunge Alhamisi vimetangaza kushiriki Uchaguzi wa marudio siku ya Jumapili, Machi 20, mwaka huu visiwani Zanzibar. Wakizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, baadhi ya viongozi wa vyama hivyo wamesema wameamua kushiriki kwa vile uchaguzi ndio njia pekee ya kuwapata viongozi kwa njia ya kidemokrasia Vyama... [Read More]
15 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 15 Machi, 2016 amewaapisha wakuu wa mikoa 25, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Walioapishwa na Mikoa yao katika mabano ni Said Meck Sadiki (Kilimanjaro), Joel Nkaya Bendera (Manyara... [Read More]
14 March 2016
Rais wa Rwanda Paul Kagame amelaumu Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kutumia pesa ‘kiholela’ kutokana na mawaziri kufanya ziara za mara kwa mara kuhudhuria mikutano. Amesema mawaziri wa nchi yake wanatumia chombo hicho kama njia ya kujinufaisha kwa kufanya ziara na kuhudhuria mikutano ya jumuiya hiyo isiyo muhimu. Ameahidi kuiga mfano wa Rais wa... [Read More]
14 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,    Javier  Rielo Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki,    Javier  Rielo Ikulu jijini Dar... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania