Home » Tanzania

Tanzania

07 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam. Katika Mazungumzo hayo Rais Mstaafu Kikwete amemtakia Rais Magufuli heri ya Mwaka mpya na kumpongeza kwa uongozi mzuri. Rais Kikwete pia amesema anaunga mkono juhudi... [Read More]
20 December 2015
18 November 2015
Makamu wa Rais , SAMIA  SULUHU  HASSAN amewaomba Viongozi wa Dini kuendelea kuiombea nchi Amani na Utulivu ili Serikali iweze kutimiza Ahadi ilizotoa kupitia Ilani wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu. Akizungumza na Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini kupitia Kamati ya Mahusiano ya Kidini mjini Dodoma, SAMIAH ameshukuru kwa Maombi... [Read More]
18 November 2015
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua  JOB NDUGAI kuwa SPIKA wa Bunge la kumi na moja. Akitoa matokeo mara baada ya wabunge kupiga kura Katibu wa Bunge Dokta. THOMAS KASHILILA amemtaja JOB NDUGAI kuwa amepata Kura 254 ikiwa ni asilimia sabini ya kura zilizopigwa huku GOODLUCK OLE MEDEYE akipata kura 109. Awali Katibu wa Bunge Dokta... [Read More]
18 November 2015
Mkuu wa wilaya KINONDONI, PAUL MAKONDA ameuagiza uongozi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki cha jijini DSM, kuwalipa wafanyakazi wake mapunjo ya mshahara kutokana na uamuzi wa kesi iliyofunguliwa mwaka 2008. Akizungumza na uongozi na wafanyakazi katika kiwanda hicho MAKONDA, amewataka wafanyakazi kusitisha mgomo na kurejea kazini huku akiuataka... [Read More]
16 November 2015
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi- CCM, Dkt JOHN MAGUFULI amevipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri ya kuendeleza utulivu na amni nchini na kuahidi kuboresha maslahi yao zaidi mara baada ya kupata ridhaa ya kuingoza nchi. Dkt. MAGUFULI ametoa pongeza hizo katika wilaya za MKINGA na BUMBULI mkoani TANGA katika... [Read More]
16 November 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta JOHN MAGUFULI anatarajiwa kwa mara ya kwanza kuwasili Makao Makuu ya nchi Mjini DODOMA kwa ziara rasmi ya kikazi. Katika ziara hiyo Rais MAGUFULI pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuzindua Bunge la Kumi na Moja na kupendekeza jina la Waziri Mkuu wake. Pia kikao hicho cha kwanza cha Bunge la Kumi na... [Read More]
02 November 2015
A University of Zimbabwe official has been suspended for allegedly supplying President Robert Mugabe with an ill-fitting graduation cap. Assistant registrar Ngaatendwe Takawira caused embarrassment for university administrators by procuring a cap which was too small for the 92-year-old leader, according to her suspension letter, quoted in local... [Read More]
02 November 2015
Zanzibar's president has had his term extended after elections on the semi-autonomous Tanzanian archipelago were cancelled last week by the electoral chief, citing fraud. Ali Mohamed Shein's term in office was due to expire on Monday. He was seeking re-election as the ruling CCM's candidate; his rival Seif Sharif Hamad has declared himself the... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania