Home » Afrika

Afrika

15 August 2022
Menejimenti ya EWURA na ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mafuta Uganda (PAU) wakiwa Eneo Huru (No man’s Land) katika mpaka wa Tanzania na Uganda (Mutukula) eneo liltakapo pita bomba la kusafirisha mafuta ghafi kwenda Chongoliani, Tanga, Tarehe 15.8.2022
14 August 2022
  Ikiwa ni siku ya Tano sasa wakenya wakisubiri kwa hamu na ghamu kumjua rais wao mpya, Tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya IEBC imelazimika kubadili mpango wake wa kazi ilikuharakisha ujumlishaji wa matokeo ya uchaguzi wa urais mbali na kuhakiki stakabadhi zinazotoka katika maeneo yote nchini. Mwenyekiti wa IEBC bwana Wafula Chebukati... [Read More]
13 August 2022
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph Sokoine akiongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha maandalizi ya Mkutano wa Kawaida wa 42 wa wakuu wa nchi na Serikali wa SADC utakaofanyika Agosti 17 & 18,2022 Jijini Kinshasa,nchini DRC
20 April 2021
Kulingana na uthibitisho kutoka katika jeshi la kitaifa la Chad uliosomwa kwenye redio ya taifa, Rais mpya aliyechaguliwa tena Idriss Déby amekufa kwa majeraha aliyoyapata wakati akiamuru jeshi lake katika vita dhidi ya waasi kaskazini. Katika mabadiliko ya haraka ya hatima, baada ya habari kuja kuwa rais mkongwe wa Chad, Idriss Déby alishinda... [Read More]
09 April 2021
Kenya inakabiliwa na uhaba mkubwa wa gesi ya oksijeni ambayo ni kiungo muhimu katika tiba ya wagonjwa walio mahututi na walioambukizwa COVID 19.     
Hospitali za kaunti zinalazimika kuahirisha shughuli za mabadiliko ya chini kuwa chini ya dharura ili kuhesabu kubwa na uhaba huo. Uhaba wa gesi ya oksijeni hospitalini umelikumba taifa wakati... [Read More]
09 April 2021
Taasisi ya sekta binafsi nchini Tanzania TPSF imeelezea kufurahishwa na mwanzo mpya wa rais Samia Suluhu Hassan kutazama na kuona wazi dhamira yake juu ya wawekezaji wa serikali. Taasisi ya sekta binafsi nchini Tanzania TPSF imeelezea kufurahishwa na mwanzo mpya wa rais samia suluhu Hassan kutokomeza na kuona wazi dhamira yake juu ya wawekezaji,... [Read More]
09 April 2021
Viongozi wa mataifa ya Kusini mwa Afrika wametoa taarifa ya pamoja inayoeleezea wasiwasi wao kuhusiana na machafuko ya makundi ya itikadi kali yanayoendelea kaskazini mwa Msumbiji. Viongozi wa mataifa ya Kusini mwa Afrika wametoa taarifa ya pamoja inayoeleezea wasiwasi wao kuhusiana na machafuko ya makundi ya itikadi kali yanayoendelea Kaskazini... [Read More]
06 April 2021
Tume ya chanjo ya Ujerumani, inayojulikana kama STIKO, ilipendekeza Alhamisi kwamba watu walio chini ya umri wa miaka 60 ambao wamepigwa sindano ya kwanza ya chanjo ya AstraZeneca ya COVID-19 wanapaswa kupokea bidhaa tofauti kwa kipimo chao cha pili.   Mapema katika juma, Ujerumani ilisema ni watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi wanaopaswa kupewa... [Read More]
05 April 2021
Mazungumzo ya siku tatu, kutafuta mwafaka wa matumizi ya maji ya Mto Nile, yameanza jijini Kinshasa siku ya Jumamosi, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mawaziri wa Mambo ya nje kutoka Misri, Ethiopia na Sudan wanakutana katika kikao hicho ambacho kinaongozwa na rais Felix Thisekedi ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa mataifa ya Umoja wa Afrika... [Read More]
21 December 2020
Umoja wa Afrika unasema hatua ya Somalia, kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Kenya, unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo la Afrika Mashariki na pembe ya Afrika. Kauli hii imetolewa na rais wa Tume ya Umoja huo Moussa Faki Mahamat, baada ya viongozi kutoka mataifa ya IGAD, kukutana nchini Djibouti mwishoni mwa wiki iliyopita, kujaidliana... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika