Home » Makala

Makala

29 January 2018
Tanzania ni mmoja wa wazalishaji wakuu zaidi wa korosho katika Afrika, mauzo ya karosho ya Tanzania huchangia asilimia kumi na tano ya fedha za kigeni. Tanzania ni mkulima wa 8 mkubwa zaidi duniani na wa 4 katika Afrika. Takwimu iliyotolewa mwaka 2012 na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Tanznaia imekuwa imefanya vizuri katika... [Read More]
29 January 2018
Soko kubwa na bei Nzuri ya Parachichi la Tanzania imeimarika Nchi za Ulaya  za Denmark, Ufaransa, Uholanzi, Norway, Hispania na Uingereza Likitoa fulsa mpya ya Ustawi wa  zao hili kwa Watanzania, imebainika  kwamba Parachichi ya Tanzania imechukua chati ya Ubora katika Soko hilo.   Uchunguzi kitakwimu una baini Mwaka 2012, kiasi cha mauzo ya nje... [Read More]
05 June 2017
VIONGOZI WAMIMINIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT PHILEMONI NDESAMBURO KUTOA POLE KWA FAMILIA   Maandalizo ya Mazishi ya marehemu Dkt ,Philemoni Ndesamburo yakiendelea nyumbani kwake KDC mjini Moshi. Kwaya ikihudumu kwa nyimbo kwa ajili ya kuwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya... [Read More]
27 April 2016
Najua unaweza ukashtuka lakini hautakiwi kupepesuka kwani umefika wakati kwa Wananchi kuweza kuambiwa ukweli dhidi ya Viongozi wao, kuambiwa ukweli dhidi ya matendo na hali za viongozi wao zilivyo kabla na baada ya kuingia madarakani. Kwa wale wenye kumbukumbu sawia watakumbuka kuwa mwishoni mwa Mwaka jana zilitolewa tafiti mbalimbali za hali za... [Read More]
08 March 2016
Afya ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad yaimarika na aruhusiwa kurejea nyumbani.
29 February 2016
WAZIRI APOKEA MISAADA KWA WALIOPATWA NA MAAFA RUANGWA   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali kwa ajili ya wakazi wa vijiji vya Mtondo na Nanjaru wilayani Ruangwa mkoani Lindi ambao nyumba zao ziliezuliwa na upepo Januari mwaka huu. Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo  (Jumapili, Februari 28, 2016), Waziri Mkuu alisema maafa... [Read More]
16 February 2016
#333333; font-family:helvetica,arial,lucida grande,tahoma,verdana,arial,sans-serif; font-size:14px">Licha ya 92% ya tikiti maji kuwa ni maji, bado zile 8% zilizobaki zina faida kubwa sana kiafya jambo linaloonekana kutofahamika kwa wengi. #333333; font-family:helvetica,arial,lucida grande,tahoma,verdana,arial,sans-serif; font-size:14px">... [Read More]
21 January 2016
Soma tamko la serikali juu ya uzushi kuwa Rais Magufuli amepiga marufuku uvaaji wa miniskirt Tanzania uliokolezwa na gazeti la THE STANDARD la kENYA NO BAN ON MINISKIRTS BY PRESIDENT MAGUFULI The Ministry of Foreign Affairs, East African, Regional and International Cooperation of the United Republic of Tanzania has noticed, with serious concern... [Read More]
16 November 2015
Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi -CCM Dakta JOHN MAGUFULI amesema kuwa siku zote katika maisha yake atahubiri amani kwa watanzania vinginevyo hafai kuwa Rais kwa kuwa amani ndio msingi wa maendeleo ya taifa lolote duniani. Dakta MAGUFULI amesema hayo Mjini BUTIAMA katika mkutano wake wa kwanza wa Kampeni  Mkoani MARA. Dakta MAGUFULI amesema... [Read More]
16 November 2015
Baraza la  Wanawake  CHADEMA  BAWACHA  ZANZIBAR  limepanga  kushusha  bendera zote  za CHADEMA  Kisiwani  Zanzibar  ndani  ya masaa 24  endapo  ombi lao la kurejesha viti vyao maalum  katika mikoa mitano  Unguja na Pemba  halitazingatiwa. Akitoa taarifa hiyo mjini  Unguja mbele ya vyombo vya habari   Makamu  Mwenyekiti wa BAWACHA  ZANZIBAR Bibi... [Read More]

Pages

Subscribe to Makala