Home » Tanzania » Serikali yazindua sensa ya watu menye ulemavu

Serikali yazindua sensa ya watu menye ulemavu

12 April 2016 | Tanzania

 Serikali ya Jamuhuri wa Mungano wa Tanzania imesema upatikanaji wa takwimu sahihi za watu wanaosihi na ulemavu nchini ni muhimu katika mipango kazi ya serikali na maendeleo kwa jumla.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa sensa za watu wanaoishi na ulemavu za mwaka 2015, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu),Dkt Abdallah Possi amesema amefurahishwa na takwimu hizo na zitasiadia katika kukabiliana na changamoto ambazo zinawakabili watu wenye ulemavu

kwa upande wake mkurugezi mkuu wa ofisi ya taifa ya Takwimu {NBS} Dk Albina Chuwa amesitaka asasi mbali mbali sisio za kiserikali kunga mkono juhudi za serikali katika kutekeleza najukumu yake bila vikwanzo vya fehda

Katika takwimu hizo zimeonesha mkoa wa mara ndio unaogoza kwa kuwa na watu wengi ambao wa ulemavu,je watu wanaoishi na ulemavu wanazungumziaje twakimu hizo 

Ad