Home » Tanzania

Tanzania

05 May 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Hafla ya kuapishwa kwa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro imefanyika leo tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma, na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa... [Read More]
28 April 2016
Ujenzi wa barabara za juu (fly over ) katika makutano ya barabara ya Nyerere na Mandela eneo la Tazara jijini Dar es salaam na utaghalimu kiasi cha shilingi bilioni 100 za Kitanzania. Akizungumza katika sherehe za uwekaji jiwe la msingi Rais Dk.Magufuli amesema mradi huo utakapokamilika utasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza tatizo la msongamano wa... [Read More]
28 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta, kufuatia kifo cha Mke wa Rais Mstaafu wa Kenya Mama Lucy Kibaki aliyefariki dunia tarehe 26 Aprili, 2016. Mama Lucy Kibaki ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Mwai Kibaki amefariki dunia... [Read More]
28 April 2016
China imekubali kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kati yenye urefu wa kilometa 2,561 kwa kiwango cha kisasa yaani "Standard Gauge" ambao zabuni za ujenzi zinatarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dkt. Lu Youqing ametoa kauli hiyo leo tarehe 25 Aprili, 2016 Ikulu Jijini Dar... [Read More]
28 April 2016
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha kazi na watendaji wa serikali wakiwemo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi, pamoja na ma-Katibu wakuu Wizara ya Mawasiliano Profesa Faustine Kamuzora, Katibu Mkuu Fedha na Mipango Dkt. Servacius... [Read More]
26 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Kamishna wa Polisi Thobias Andengenye kuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto nchini. Taarifa iliyotolewa leo tarehe 25 Aprili, 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Kamishna Andengenye umeanzia leo tarehe 25 Aprili, 2016. Kamishna wa Polisi... [Read More]
25 April 2016
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13... [Read More]
22 April 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameikaribisha nchi ya Canada kushirikiana na serikali yake ya awamu ya tano katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, hususani katika uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo, Madini, Uvuvi na Huduma za kijamii. Rais Magufuli ametoa ujumbe huo alipokuwa akizungumza na Balozi wa Canada hapa nchini... [Read More]
22 April 2016
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana nchini kimepungua kwa asilimia 2.5 na kwamba Serikali itaendeleza juhudi za kuvutia uwekezaji ili kupunguza zaidi kiwango hicho.   Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Aprili 22, 2016) wakati akiwasilisha mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na... [Read More]
22 April 2016
MKUTANO WA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU (CCM) NA WANDISHI WA HABRI-DAR ES SALAAM-LUMUMBA  22/06/2016 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTANGULIZI; Ndugu wandishi wa habari,awali ya yote nipende kutanguliza shukrani za dhati kwa Mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kutupatia uzima na Afya ili kutekeleza majukumu ya kitaifa. Lakini pia... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania