Home » Tanzania

Tanzania

29 March 2016
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepokea taarifa ya ukaguzi wa hesabu za serikali ya mwaka 2014/2015 kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad, Ikulu Jijini Dar es salaam. Rais Magufuli amepokea taarifa hiyo yenye ripoti tano, ikiwa ni utaratibu wa kikatiba unaomtaka Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za... [Read More]
29 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemwapisha Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Gallawa, ambaye hakuapishwa pamoja na wakuu wa mikoa wenzake Machi 15, 2016. Uapisho huo umefanyika leo tarehe 28 Machi, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam, na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na... [Read More]
28 March 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mchungaji Charles Mzinga alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam      az3 na az4: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Magufuli wakishiriki na waumini... [Read More]
25 March 2016
Hatimaye wajumbe wa Baraza la Wawakilishi watokanao na Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo wamefanya Uchaguzi wa kumpata mjumbe atakaye peperusha bendera ya CCM katika kinyang’anyiro cha nafasi ya Spika wa Baraza hilo, kwa kipindi cha mwaka 2015 – 2020. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC waIdara ya Itikadi na... [Read More]
25 March 2016
Siku chache tu baada ya kutangaza vita dhidi ya wala rushwa katika sekta ya sheria, waziri wa Burundi wa sheria asema mahakimu zaidi ya kumi tayari wamekamatwa kwa tuhuma za kula rushwa.
24 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na wajumbe wa Serikali zote mbili wakishuhudia uwekwaji saini wa mkataba kuhusu Ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia katika nyanja za Uchumi, Biashara, Uwekezaji, Ufundi, Vijana na Michezo. Kwa upande wa Tanzania mkataba ulisainiwa na Waziri wa Mambo ya... [Read More]
24 March 2016
Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameapa kuwa Rais kwa mujibu wa katiba katika kuongoza wananchi wa Zanzibar kwa muda wa miaka 5.   Rais Mteule ameapishwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Jaji Omary Othman Makungu mbele ya viongozi wa nchi pamoja na viongozi wa dini na kushuhudiwa na mamia ya wananchi katika uwanja wa... [Read More]
24 March 2016
Version:1.0 StartHTML:0000000167 EndHTML:0000005224 StartFragment:0000000457 EndFragment:0000005208 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Afrika wa Usuluhishi wa Mgogoro wa Libya, amewasili jana Jijini Tunis nchini Tunisia  kushiriki Mkutano wa 8 wa Nchi majirani wa Libya.   Mkutano huo umeitishwa... [Read More]
21 March 2016
http://zecblogu.blogspot.com/ http://zec.go.tz/en/ https://twitter.com/ZECZNZ/
https://www.facebook.com/ZECpages/
http://bit.ly/1UHAqN1

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania