Home » Tanzania

Tanzania

21 June 2016
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kimejadii na kupitisha kuwa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utafanyika Julai 23, 2016, ambapo mkutano huo unatarajiwa kumchagua Rais Dk. John... [Read More]
20 June 2016
#000000">Mkurugenzi Mtendaji wa UDART,  David Mgwasa alisema wameanza kutoa huduma hiyo ya kadi ili kuwarahisishia wateja wao na kuondoa changamoto ya kusubiri tiketi kwa muda mrefu kabla ya kuondoka.   #000000">Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MaxMalipo ambao wameingia ubia na Udart  katika matumizi ya kadi hizo, Mhandisi Juma Rajabu... [Read More]
17 June 2016
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania imeanza zoezi la kuzuia mawasilino ya simu za mkononi ambazo ni bandia. Mamlaka hayo yanasema tayari mawasiliano katika simu zaidi ya Laki 6, yamezuiwa zoezi ambalo limesabisha changamoto za mawasilian kwa wamiliki wa simu hizo. Tanzania inajiunga na Cameroon, Afrika Kusini na Nigeria kuungia simu hizo ambazo... [Read More]
16 June 2016
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tanzania inatarajia kufungua Ubalozi wake nchini Qatar kwa lengo la kuendeleza na kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano kati ya nchi hizo huku ikitilia mkazo katika sekta za gesi asilia, utalii, usafiri wa anga na mawasiliano. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema hayo leo tarehe... [Read More]
16 June 2016
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16, 2016 Tunapoadhimisha kumbukumbu ya siku ya mtoto wa Afrika hii leo Juni 16, 2016 ikiwa ni mara ya 26 tangu uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) uizindue siku hiyo mwaka 1991, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), inatoa... [Read More]
15 June 2016
Watanzania walio wengi sawa na 79% hawakubaliani na maamuzi ya serikali ya kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kupitia runinga na redio. SIKILIZA RIPOTI MSIKILIZE Aidan Eyakuz MSIKILIZE Enerst Sungura  
14 June 2016
SIKILIZA HAPA CHINI Wanaofanya biashara ya dawa za kulevya watafute kazi nyingine

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania