Home » Tanzania

Tanzania

11 June 2016
Rais John Pombe Magufuli kumteua mbunge wa Buchosa Dk Charles John Tizebe kuwa waziri wa kilimo na mifugo na kumuhamisha waziri Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi.  
11 June 2016
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeanza kutoa vitambulisho vya Taifa vyenye saini ya mwombaji kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Mamlaka hiyo Rose Mdami wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Mdami  Akifafanua alisema kuwa lengo la Mamlaka... [Read More]
09 June 2016
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2016/2017         UTANGULIZI 1.      Mheshpika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya... [Read More]
07 June 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na Akaunti ya Malaika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam leoMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Jukwa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania na... [Read More]
07 June 2016
Rais Magufuli ameagana na Balozi wa Italia hapa nchini Mheshimiwa Luigi Scotto ambaye amemaliza muda wake wa miaka mitatu. Balozi Luigi Scotto amesema katika kipindi chake amewezesha kuongezeka kwa biashara kati ya Italy na Tanzania kwa asilimia 35 na ameielezea Tanzania kuwa ni nchi nzuri aliyoipenda na kwamba ataendelea kutangaza fursa zilizopo... [Read More]
07 June 2016
Version:1.0 StartHTML:0000000167 EndHTML:0000007470 StartFragment:0000000457 EndFragment:0000007454 Marekani itatoa dola milioni 800 kwa Tanzania kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress aliyekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe... [Read More]
28 May 2016
Wanahabari nchini Tanzania wameungana ili kuanzisha “WANAHABARI SACCOS” katika mkutano wao wa kwanza wa maandalizi uliofanyika leo 29May2016 jijini Dar es salaam Katika Mgahawa wa City Sports Longe  mkabala na mnara wa askari Posta. Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na wajumbe wasiopungua Ishirini na wawili, WANAHABARI SACCOS inadhamiria Kuinua... [Read More]
28 May 2016
Wakati Serikali ya JPM imeipatia NIDA Bl.2.3 kuwalipa wafanyakazi 597 walio katishwa ajira zao mapema March,Uchunguzi umebaini wote tangu wameajiriwa, NIDA haijawahi kulipa makato ya Huduma za Kijamii kama Bima,na huduma nyingine Kama kodi ya mshahara PAYE. Hatahivyo watumishi hao walikatwa kodi ya mshahara yaani (PAYE) lakini hazikuwakilishwa TRA... [Read More]
27 May 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wakandarasi kote nchini kufanya kazi kwa kutanguliza maslai ya taifa, badala ya kutaka kupata faida kubwa kupita kiasi kutoka kwenye zabuni za miradi ya ujenzi wanayopata kutoka serikalini. Dkt. Magufuli amesema hayo 26 Mei, 2016 alipokuwa akifungua mkutano wa mashauriano... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania