Home » Tanzania

Tanzania

03 October 2018
FLYOVER YA ENG. MFUGALE; KUTOKA WAZO, AHADI, MAAMUZI, USIMAMIZI HADI UHALISIA! “Mtakumbuka ndugu zangu.. wakati tukiomba kura.. ili tuchaguliwe; Tulieleza mengi.” “Na moja ya yale tuliyoyaeleza..na hasa mimi nilipokuwa hapa Dar es Salaam, nilisema nitahakikisha barabara ya Flyover inajengwa na Dar es Salaam inabadilika.” “Ahadi ni deni. Nina... [Read More]
23 September 2018
Mhandisi wa kivuko cha MV Nyerere Alphonse Charahani ameokolewa leo alfajiri akiwa hai. Kwa sasa Charahani anaendelea kupokea matibabu kutoka kituo cha afya cha Bwisya Ukara. Kufikia sasa idadi ya miilio iliopatikana ni 211 huku zaidi ya milli 116 kati yao ikitambuliwa na ndugu zao kulingana na waziri wa uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack... [Read More]
23 September 2018
Sasa imebainika kwamba nahodha wa kivuko cha MV Nyerere kilichozama Alhamisi na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 200 hakuwepo katika feri hiyo wakati ilipozama. Akihutubia taifa siku ya Ijumaa jioni rais wa Jamhuri ya Tanzania John Pombe Magufuli amesema kuwa ana habari kwamba nahodha huyo alimwachia zamu ya kuendesha chombo hicho mtu ambaye... [Read More]
06 September 2018
      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa Musoma waliokusanyika katika viwanja vya Mukendo vilivyopo Musoma mjini kwa ajili ya kumsikiliza mara baada ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara. Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo uliofanyika Musoma mjini katika viwanja... [Read More]
04 September 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 04 Septemba, 2018 ameendelea na ziara yake katika mikoa ya Mwanza na Mara kwa kufungua viwanda 3 vya kampuni ya Lakairo, kuzindua ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara ya Bulamba – Kisorya (51km), kufungua mradi wa maji katika kijiji cha Nebuye kwa ajili ya wananchi... [Read More]
10 August 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza (Department of International Development – DFID – ) Mhe. Penny Mordaunt aliyemtembelea akiwa ameongozana na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Sarah Cooke, na Mkuu wa ofisi ya DIFD nchini Mama Beth Arthy Ikulu jijini Dar es... [Read More]
10 August 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari hawapo pichani mara baada ya kikao chake na Rais wa Uganda Yoweri Museveni Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza na wanahabari hawapo pichani mara baada ya kikao chake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John... [Read More]
07 August 2018
    Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi  Alinikisya Cheyo, aliyeongoza ujumbe wa viongozi wapya wa Jumuiya hiyo kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam... [Read More]
07 August 2018
Rais Magufuli Akutana Na Viongozi Wa Baraza La Maaskofu Wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Ikulu Jijini Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu... [Read More]
07 August 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kingwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4,2018 huko Manyara.Makamu wa... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania