Home » Uchaguzi

Uchaguzi

09 November 2017
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imejiridhisha kuwa uamuzi wa kuvihamisha vituo 21 vya kupigia kura katika Kata ya Mbweni, jimbo la Kawe katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, umezingatia Sheria na Kanuni za Uchaguzi. NEC imetoa msimamo huo, baada ya kupokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wananchi na vyama vya siasa wakilalamika kuwa Tume ya... [Read More]
07 October 2017
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 kuwa utafanyika Novemba 26 mwaka huu. Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage, amesema kuwa uchaguzi huo unafanyika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo baadhi ya madiwani kufariki dunia, kujiuzulu, kutohudhuria vikao na wengine ushindi wao kutenguliwa na... [Read More]
19 October 2016
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa fursa kwa vyombo vya habari kuialika kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa Wamiliki,Wahariri na wafanyakazi wa vyombo hivyo ili kukuza uelewa juu ya sheria, kanuni, na taratibu zinazoongoza na kusimamia uendeshaji wa uchaguzi na kufahamu majukumu ya Tume hapa nchini. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa... [Read More]
25 March 2016
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateua ndugu Ritha Enespher Kabati na ndugu Oliver Daniel Semuguruka wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na ndugu Lucy Fidelis Owenya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa Wabunge Wanawake wa viti Maalum katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ikumbukwe kuwa Tume katika Kikao chake cha tarehe 11/11/2015... [Read More]
03 March 2016
#000000">TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UCHAGUZI WA MBUNGE KATIKA #000000">JIMBO LA KIJITOUPELE – ZANZIBAR   Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa Uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Kijitoupele – Zanzibar utafanyika mnamo tarehe 20 Machi, 2016.   Uchaguzi wa Mbunge katika Jimbo la Kijitoupele - Zanzibar ni mojawapo ... [Read More]
19 February 2016
Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg. Kailima Ramadhani amemkemea Mwandishi Ibrahim Yamola wa Gazeti la Tanzania Daima kwa kuandika habari za uwongo.
17 February 2016
Katika taarifa iliyotolewa  na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo imesainiwa na mkurugenzi wa Uchaguzi Ndg KAilima Ramadhani, inaeleza kwamba taarifa iliyotolewa na Gazeti la Nipashe toleo Na:0578761 la tarehe 16 Februari 2016 kwamba "MCHAKATO WA KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA UMEIVA" kwamba taarifa hizi SIO ZA KWELI NA ZINALENGA... [Read More]
04 February 2016
Kusoma majimbo yote Bofya HAPA
04 February 2016
Mitandao Kwa Ujumla neno mtando lina maana ya mfumo au kikundi chochote kilichounganishwa. Hii ni njia mojawapo ya kubadilishana habari kati ya mifumo tofauti. TACAIDS inaratibu mitandao mbalimbali ya mapambano dhidi ya UKIMWI. Ifuatayo ni baadhi ya miandao hiyo:
  NETWO+: Ni Mtandao wa Taifa wa Wanawake wenye VVU/UKIMWI ICW:... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Uchaguzi