Home » Tanzania

Tanzania

29 August 2016
Kupatwa huko kwa jua kutaanza kwenye bahari ya Atlantic, kutaenda Gabon, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Tanzania, Msumbiji na Madagascar na kisha kwenye bahari ya Hindi. Wataalam wanadai kuwa Tanzania ndio itakuwa sehemu ambayo kupatwa huko kwa jua kutaonekana vyema zaidi na kuvutia watalii wengi kutokana na kile mtandao wa Independent wa... [Read More]
29 August 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Mbabane - Swaziland leo kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 36 wa Wakuu wa nchi na serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika- SADC.    Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika... [Read More]
15 August 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na pia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Aboud Jumbe... [Read More]
12 August 2016
  BONYEZA PICHA
12 August 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, Mbunge wa Sumve Richard Ndassa wakipiga makofi mara baada ya tukio la uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu la Furahisha pamoja... [Read More]
12 August 2016
#000000">MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN ameitakaTaasisi ya Hans Seidel Foundation isaidie kupeleka elimu ya uraia bungeni ili wabunge wajue wajibu wao ndani na nje ya Bunge. #000000">Mheshimiwa Samia Suluhu amekukutana na ujumbe wa Taasisi ya Hans Seidel Foundation uliomtembelea ofisi kwake Ikulu,... [Read More]
11 August 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini humo.

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania