Home » Tanzania

Tanzania

07 July 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amemteua Bw. Deogratius John Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema Bw. Deogratius John Ndejembi anachukua nafasi iliyoachwa na aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Bw. John Ernest Palingo... [Read More]
07 July 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakar Zubeir bin Ali kwa juhudi zake za kuwaunganisha waislamu wote na kupanua uwigo wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa huduma za kijamii na ameahidi kuwa serikali ya awamu ya tano itaunga mkono juhudi hizo. Rais Magufuli... [Read More]
05 July 2016
Awamu ya pili ya mazungumzo ya amani kuhusu mzozo wa Burundi, yamepangwa kurejelewa kuanza siku ya jumamosi tarehe 9 mwezi huu wa julai hadi Julai 12 mjini Arusha nchini Tanzania, lakini bila ya kushirikishwa kwa wanasiasa wa muungano wa upinzani CNARED. Taarifa hii imechapishwa kupitia mtandao wa twitter wake Macocha Tembele, mkurugenzi wa ofisi... [Read More]
03 July 2016
Ukweli kuhusu Maxcom na TRA LINK: https://www.youtube.com/watch?v=iJuMnecW13Y Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Maxcom Africa Ndugu Juma Rajabu amefafanua mkataba  wake na Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)  [CONTRACT AGREEMENT FOR THE PROVISION OF CHARGES AND TAX PAYMENT SYSTEM SERVICE AND SMS INFORMATION SERVICES. NO. AE/023/2013-14/HQ/G/001 wa... [Read More]
01 July 2016
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa imeibuka Mshindi wa kwanza katika Maadhimisho ya Maonyesho ya 40 ya Kibiashara Kimataifa – Sabasaba kama Banda Bora katika Kutoa Huduma Bora na yenye Viwango kwa Umma inayotoa mchango katika Kuwezesha Kuunganisha Biashara na Masoko pamoja na Uwekezaji (Best Exhibitor Trade and Investment Support Dar Es Salaam... [Read More]
01 July 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wafanyabiashara wa Rwanda kuwa bandari ya Dar es salaam ni salama kwa wao kupitisha mizigo na ameahidi kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuchukua hatua za kuiboresha bandari hiyo na kurahisisha biashara kati ya nchi hizi mbili. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo... [Read More]
27 June 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 25 Juni, 2016 amezindua kituo cha mawasiliano cha Jeshi la Polisi ambacho kitarahisisha utoaji wa taarifa za uhalifu na kuharakisha askari polisi kufika katika eneo la tukio. Kituo hicho cha kwanza kuanzishwa na Jeshi la Polisi hapa nchini kipo katika kituo kikuu cha Polisi... [Read More]
27 June 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa Mkuu wa Mkoa... [Read More]
23 June 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema serikali imeamua kusimamisha kwa muda mfupi usiozidi miezi miwili zoezi la utoaji ajira mpya na upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma kwa lengo la kupisha uhakiki wa watumishi wa umma katika orodha ya malipo ya mshahara na kuondoa watumishi hewa. Rais Magufuli amesema... [Read More]
21 June 2016
Wizara ya Nishati na Madini imeipatia kampuni ya Saruji ya Dangote mkoani Mtwara vibali kuruhusu meli mbili zinazoingiza makaa ya mawe na gypsum kupakua ili zitumike kiwandani hapo baada ya kukamilisha utaratibu wa kuzilipia kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ya zaidi ya shilingi Bilioni mbili. Pesa hizi na pamoja na malimbikizo ya malipo ya... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania