Home » Tanzania

Tanzania

10 August 2016
WAZIRI MKUU AKAGUA KIWANDA CHA NGUO UBUNGO *Aagiza Wizara ya Viwanda iendeleze eneo la Mkulazi, Morogoro *Awapakazi kazi maalum Wakuu wa Mikoa sita WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ihakikishe inaendeleza eneo la viwanda vya usindikaji mazao la Mkulazi lililopo Morogoro ili liwe kielelezo kikuu cha... [Read More]
08 August 2016
WAZIRI MKUU AITAKA TRA KUACHA TABIA YA KUWAPANDISHIA   WAFANYABIASHARA KODI KIHOLELA Awataka wafanyabiashara kuwaripoti watendaji wanaoongeza kiwango kikubwa cha kodi kuliko inavyostahili kulipwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa imeitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania kuimarisha kitengo cha tathmini ili kuweka viwango halali ambavyo havitawagandamiza... [Read More]
29 July 2016
Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea taasisi ya saratani ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam 
29 July 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Julai, 2016 ameanza ziara ya siku nne katika mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Geita akitokea mkoani Dodoma, ambapo amezungumza na wananchi kwa lengo la kuwashukuru kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana na kueleza juhudi zinazofanywa na serikali... [Read More]
29 July 2016
Bodi ya Mikopo inapenda kuwataarifu wadaiwa wote waliopo Dar es Salaam kuwa Ofisi za Bodi zitakuwa wazi kwa siku mbili za kesho, Jumamosi, Julai 30, 2016 na Jumapili, Julai 31, 2016 kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 9:00 mchana ili kutoa huduma mbalimbali ikiwemo kuwasiliza wadaiwa.   Hii ni fursa muhimu kwa wadaiwa wote wa mikopo ya elimu ya juu... [Read More]
28 July 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund Board) Dkt. James Munanka Wanyancha. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi iliyotolewa leo Mjini Dodoma imeeleza kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia leo tarehe 28 Julai, 2016. Kufuatia kutenguliwa kwa... [Read More]
28 July 2016
WAZIRI MKUU ATOA SIKU MOJA KWA HALMASHAURI YA WILAYA TEMEKE  KUMALIZA TATIZO LA AJIRA ZA MIKATABA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Halmashauri ya wilaya ya Temeke kuondoa wafanyakazi wa mkataba kwa  kuwapa ajira ya kudumu ifikapo Julai 30 mwaka huu. Amesema kitendo cha kutowaajiri na kuwatumikisha kwa mikataba kwa muda mrefu kinasababisha... [Read More]
27 July 2016
Mahakama Kuu mjini Iringa nchini Tanzania imemhukumu jela miaka 15 askari wa kikosi cha kuzia ghasia Picifius Simon kwa kosa la kumuua bila kukusudia mwanahabari wa Daudi Mwangosi mwaka 2012. Mwanahabari huyo alipoteza maisha wakati polisi walitumia nguvu kuwasambaratisha wafausi wa chama cha upinzani CHADEMA Wilayani Mufindi. Jaji wa Mahakama... [Read More]
27 July 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Bw. Oliva Paul Joseph Mhaiki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Aidha, Rais Magufuli amemuapisha Mwl. Winifrida Gaspar Rutaindurwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Rais Magufuli alifanya uteuzi wa Mwenyekiti na Katibu wa Tume ya Utumishi... [Read More]
26 July 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Julai, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Frannie Leautier katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, ambapo ameishukuru benki hiyo kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Tanzania hususani kutoa mikopo... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania