Home » Tanzania

Tanzania

14 March 2017
Makamu wa Rais Samiah Suluhu Hassan amezindua mradi wa Kidijitali kwa Shule za Msingi katika Manispaa ya Dodoma wenye zaidi ya shilingi bilioni moja na milioni mia nane unaokusudiwa kunufaisha takriban shule hamsini. Akizungumza baada ya kuuzindua mradi huo mjini Dodoma, ambapo jumla ya wanafunzi elfu tano watakabidhiwa Ipad, Makamu wa Rais... [Read More]
14 March 2017
Rais mstaafu  Jakaya Kikwete amesema Taasisi ya Maendeleo ya Jakaya Mrisho Kikwete Fundation (JMKF) haitakuwa ya kisiasa, na kuwa itafanya kazi na Serikali ya Tanzania na nyingine barani Afrika. Rais Mstaafu Kikwete ametoa kauli hiyo jijini DSM wakati wa uzinduzi wa taasisi hiyo ya maendeleo JMKF ambapo amesema hakusudii kuwa Mwenyekiti wa Taasisi... [Read More]
14 February 2017
Barabara hiyo ya juu itakuwa ya kwanza kujengwa hapa nchini na ujenzi wake umepangwa kugharimu takribani shilingi Bilioni 100 ambapo kati ya fedha hizo shilingi Bilioni 93.44 zitatolewa na Japan kupitia Shirika lake la Ushirikiano wa Kimataifa (JICA), na Serikali ya Tanzania itatoa shilingi Bilioni 8.3. Barabara ya juu itakayojengwa itakuwa na... [Read More]
20 January 2017
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema, Rais Dk. John Magufuli hakukiuka Katiba ya Tanzania kwa kuwateua wabunge wawili wanaume. Mwakyembe amesema hayo leo, kutoa ufafanuzi, wakati akizungumza na Uhuru FM,  kuhusu baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa kuzua mjadala hususan katika mitandao ya kijamii, kwamba Rais Dk. Magufuli... [Read More]
18 January 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 17 Januari, 2017 amemteua Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania. Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Juma anachukua nafasi ya Mhe. Jaji Mohamed Chande Othman ambaye amestaafu. Kabla ya kuteuliwa kushika nafasi ya Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Jaji Prof... [Read More]
16 January 2017
WAZIRI MKUU AZINDUA SAFARI ZA ATCL DAR/DODOMA   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mfano wa Boarding Pass kutoka kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mahandisi Edwin Ngonyani kabla ya kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kutoka uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es salaam kwenda Dodoma... [Read More]
23 December 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).   Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Mhe. Jaji Semistocles Kaijage ameteuliwa kuongoza Tume hiyo kwa kipindi cha miaka... [Read More]
09 December 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa ya tarehe 09 Desemba, 2016 amewaongoza viongozi mbalimbali na wananchi kwa ujumla katika maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara . Maadhimisho hayo yamefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam na kupambwa na gwaride maalum... [Read More]
01 December 2016
SH. BILIONI 40 ZIMEPELEKWA WIZARA YA AFYA KWA AJILI YA UNUNUZI WA DAWA NA VIFAA TIBA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa, Serikali imekwishaipatia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto sh. bilioni 40 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba. Amesema hatua hiyo inalenga kupunguza changamoto ya upatikanaji... [Read More]
27 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe. Idriss Deby Itno leo tarehe 27 Novemba, 2016 majira ya alasiri amewasili hapa nchini kwa ziara kikazi ya siku 2. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Rais Idriss Deby Itno akiwa na Mkewe Mama Hinda Deby amepokelewa na mwenyeji wake Rais Magufuli na kisha kulakiwa na... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania