Home » Tanzania

Tanzania

27 November 2016
  Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu leo tarehe 27 Novemba, 2016 majira ya jioni amewasili hapa nchini kwa ziara ya kiserikali ya siku 3 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Rais Lungu amepokelewa na... [Read More]
25 November 2016
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa  Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa  wakati wa mahafali ya 31 ya  Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko huko Bungo, Kibaha,  mkoa wa Pwani leo Novemba 24, 2016.  Rais wa Jamhuri ya Muungano... [Read More]
25 November 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inajipanga kuondoa utitiri wa kodi mbalimbali zinatozwa kwenye viwanda kama hatua ya kuviwezesha viwanda vingi nchini kuongeza uzalishaji na kutoa ajira nyingi kwa watanzania.   Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo leo Jijini Arusha baada ya... [Read More]
21 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Novemba, 2016 amemteua Bw. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bw. Charles E. Kichere anajaza nafasi ya Naibu Kamishna Mkuu wa TRA iliyokuwa wazi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Uteuzi huu umeanza mara moja.     Gerson Msigwa... [Read More]
21 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa wenyeviti wawili wa bodi za mashirika ya hifadhi za jamii na mmoja wa chuo. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imewataja walioteuliwa kuwa ni kama ifuatavyo; Kwanza, Rais Magufuli amemteua Mhandisi Alhaji Mussa Iyombe kuwa Mwenyekiti wa... [Read More]
18 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Novemba, 2016 amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) #0000CD">Bw. Diwani Athuman kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.   Uteuzi wa Bw. Diwani Athuman unaanza mara moja. Wakati huo huo, Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi... [Read More]
17 November 2016
Thursday, November 17, 2016 ZIARA YA MAKAMU WA RAIS UKEREWE                                                                                
07 November 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kufuatia kifo cha Spika Mstaafu na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Urambo lililopo Mkoani Tabora Mhe. Samwel Sitta. Mhe. Samwel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya... [Read More]
04 November 2016
FocusMediaProLTD @FocusMedia_Pro    Joined January 2016  348 Photos and videos                
  Tweets Media     FocusMediaProLTD ‏@FocusMedia_Pro  1m1 minute ago Tunafanya hivi ili hii nchi iwe kimbilio la kila mmoja (utaratibu wa matumizi yenye tija kwa taifa) - Rais #MahojianoNaRaisMagufuli 0... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania