Home » Tanzania » Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Aihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Aihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza

11 August 2016 | Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini humo.

Ad