Home » Tanzania » Wabunge wajifunze Elimu ya Uraia - Mh. Samia Suluhu

Wabunge wajifunze Elimu ya Uraia - Mh. Samia Suluhu

12 August 2016 | Tanzania

Taasisi ya Hans Seidel Foundation yenye makao yake makuu Munich, nchini Ujerumani ambayo inajishughulisha na masuala ya demokrasia, amani na maendeleo huku ikitoa kipaumbele kwenye elimu ya uraia inaendesha shughuli zake katika nchi zaidi ya 60 duniani. Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais Dar es salaam.

 
 
 
Ad