Home » Tanzania » Rais Dr. Magufuli Ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu la Furahisha

Rais Dr. Magufuli Ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu la Furahisha

12 August 2016 | Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, Mbunge wa Sumve Richard Ndassa wakipiga makofi mara baada ya tukio la uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu la Furahisha pamoja na Upanuzi wa barabara ya Mwanza-airport.

Ad