Home » Tanzania

Tanzania

09 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Maalim Seif Shariff Hamad, katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam, ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelzwa kwa matibabu. Pamoja na kumpa mkono... [Read More]
08 March 2016
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuzingatia thamani ya fedha kwa kila mradi wa ujenzi wa nyumba wanaoutekeleza nchini.   Ametoa agizo hilo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ghorofa saba katika eneo la Sida Ada Estate linalojegwa na Wakala huo jijini Dar es... [Read More]
08 March 2016
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa wazazi waliokuwa wamelazwa kweye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti katika Hospitali ya Mwananyama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya... [Read More]
08 March 2016
    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Utambulisho wa Taifa, Dkt. Modestius Kipilimba amesema NIDA haitafuta vitambulisha vya awali, lakini itaendelea kutoa vitambulisho vyenye saini ya mtoaji na mmiliki wa kitambulisho.  Zoezi la utoaji wa vitambulisho ni endelevu kwa kila atakefikia miak 18, kila siku inabidi awe na utambulisho wa Taifa. Vilevile... [Read More]
04 March 2016
Majokofu Maalumu ya chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya rufaa ya Tumbi, hayafanyi kazi kwa muda wa siku nne sasa, hali ambayo imesababisha usumbufu mkubwa kwa wafiwa wanaopeleka maiti zao katika hospitali hiyo. Bi Eda Lemba Muhama ni Mmoja ya ndugu ambaye alifika kwenye hospitali hiyo kwa ajili ya kuuchukua mwili wa ndugu yake... [Read More]
04 March 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta, wameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili - Taveta - Voi, yenye urefu wa kilometa 234.3 ambayo inaunganisha nchi za Tanzania na Kenya. Hafla ya uwekaji wa jiwe hilo la Msingi imefanyika katika... [Read More]
03 March 2016
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kuwataka waandishi wote wa habari za kiuchunguzi pamoja na watafiti kuweka hadharani na kuueleza umma kile kilichotokea Zanzibar, Waandishi na watafiti mabalimbalai wamejitokeza  na vielelezo  vinavyoeleza jinsi uchaguzi huo ulivyoharibika Vielelezo hivyo ni Nakala za fomu... [Read More]
03 March 2016
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mheshimiwa Jenister Joakim Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Jijini Dar es salaam. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa usiku huu, imeeleza kuwa uteuzi huo... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania