Home » Tanzania » PPF waadhimisha siku ya Mwanake kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wazazi

PPF waadhimisha siku ya Mwanake kwa kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa wazazi

08 March 2016 | Tanzania

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa wazazi waliokuwa wamelazwa kweye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti katika Hospitali ya Mwananyama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo

Ad