Home » Tanzania

Tanzania

24 February 2016
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TAARIFA KWA UMMA UTARATIBU WA KUPOKEA NA KUSHUGHULIKIA MALALAMIKO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU UTANGULIZI Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wadau wakiwemo wanafunzi wa elimu ya juu kuhusu kuchelewa au kutokushughulikiwa kwa malalamiko yao yanayohusu mikopo ipasavyo katika ngazi za vyuo na... [Read More]
23 February 2016
WAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi watatu kutoka nchi za Uturuki, Ireland na Uswisi pamoja na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa hapa nchini. Akizungumza kwa nyakati tofauti na mabalozi hao leo (Jumanne, Februari 23, 2016), ofisini kwake, Magogoni jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu aliwashukuru mabalozi hao kwa... [Read More]
23 February 2016
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Pierre Nkurunziza amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa hali ya Burundi ni shwari na kwamba tangu jana (Februari 22, 2016) nchi hiyo imepokea ugeni mkubwa wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Ban Ki-moon na inatarajia kupokea marais watano kutoka nchi za... [Read More]
19 February 2016
TCU YAFUTA VYUO VISHIRIKI VYA MTAKATIFU JOSEP
  Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof Yunus Mgaya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi huo.  MAELEZO Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeamua kufuta kibali kilichoanzisha vyuo vikuu viwili vishiriki vya Mtakatifu Joseph ambavyo ni Chuo Kikuu kishiriki cha Sayansi ya... [Read More]
19 February 2016
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Profesa Makame Mbarawa ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Mhandisi Marcellin Benedict Magesa kuanzia Februari 18 mwaka huu. Profesa Mbarawa amechukua hatua hiyo kutokana na kuwepo kwa sababu mbalimbali zikiwemo, kushindwa kusimamia matengenezo ya magari na... [Read More]
19 February 2016
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya... [Read More]
19 February 2016
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam
19 February 2016
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya... [Read More]
18 February 2016
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2015   MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2015   Ufaulu umepungua kwa asilimia 0.1% Matokeo kwa Ujumla Division 1-3 asilimia 23 division 4-0 asilimia 77 SHULE KUMI BORA TANZANIA 2015 1. Kazirege - Kagera 2. Alliance Girls - Mwanza 3. St. Francis Girls - Mbeya 4. Alliance Boys - Mwanza 5.Cahossa -... [Read More]
17 February 2016
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni alipowasili katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Tanzania