Home » Tanzania » PICHA: Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi

PICHA: Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi

19 February 2016 | Tanzania

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam 

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam

Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la Tanzania One Theatre

ais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wataalamu wa TEHAMA 

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Movie 

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Fleva

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na sehemu ya wanahabari 

Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na watendaji kutoka CCM Makao Makuu 

 

 

Ad