Home » Tanzania » Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli aagwa rasmi shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli aagwa rasmi shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam

17 February 2016 | Tanzania

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni alipowasili katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo. 

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza maelezo ya utangulizi ya mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam 

Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam katika sherehe hiyo fupi ya Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuwaaga rasmi 

Waalimu wa Shule ya msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya Mama janeth Magufuli

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza risala toka kwa mwanafunzi wa shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya saa toka kwa mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela 

 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda akimkaribisha Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kutoa nasaha zake katika  shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akihutubia katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akigonganisha na wanafunzi wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na wanafunzi wa darasa la sita wa  shule ya msingi ya Mbuyuni, 

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwaaga walimu na wanafunzi wa  shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam baada ya  sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. 

Ad