Home » Tanzania

Tanzania

25 August 2017
Mkuu wa Mkoa wa dar es Salaam Mh Paul Makoknda amepokea pikipiki 10
14 August 2017
Rais wa Jamhuri ya Nchi za Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi awasili nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na Rais John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na Rais John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege... [Read More]
14 August 2017
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir (kushoto) mara alipowasili katika Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo akiwa... [Read More]
14 August 2017
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amezindua ujenzi wa Mji wa Safari pamoja na kuwapa hati wakazi 100 wa mji wa Arusha.   Safari City ni mji wa kisasa uliopangwa vizuri kwa kufuata sheria na kanuni za mipango miji uliopo Jijini Arusha.Eneo hili limepangwa viwanja vya nyumba za makazi, ofisi, biashara, hoteli, shule... [Read More]
27 July 2017

Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akikabidhi mabomba ya kusambazia maji katika kijiji cha Matumbulu.
Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde akikabidhi mabomba ya kusambazia maji katika kijiji cha Matumbulu kwa wananchi.

.Mabomba ya kusambazia maji katika kijiji cha Matumbulu

Mbunge wa Dodoma mjini Anthony... [Read More]
20 July 2017
RAIS PIERE NKURUNZIZA WA BURUNDI AWASILI NGARA MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KISERIKALI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE MHE. RAIS DKT. MAGUFULI. BOFYA
17 July 2017
  Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita, leo julai 16, 2017. Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Janeth... [Read More]
11 July 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameipongeza Taasisi ya Mkapa na Mfuko wa Dunia (Global Fund) kwa mchango wake wa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuboresha huduma za kijamii kwa wananchi zikiwemo kujenga zahanati, nyumba za watumishi wa afya na shule. Mhe. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo leo tarehe 10... [Read More]
03 July 2017
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo.          Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania