Home » Tanzania

Tanzania

10 October 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Mhandisi James Mitayakingi Kilaba umeanza jana Jumamosi tarehe 08 Oktoba, 2016. Kabla... [Read More]
03 October 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Oktoba, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Antonio Valdes Mesa ambapo viongozi hao wamekubaliana kuimarisha na kuongeza uhusiano na ushirikiano kati ya nchi hizi mbili kwa manufaa ya wananchi wake. Katika Mazungumzo hayo Rais... [Read More]
03 October 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Oktoba, 2016 amemteua Prof. Lawrence Mujungu Museru kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Ikulu Jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa uteuzi wa Prof. Lawrence Mujungu Museru umeanza... [Read More]
03 October 2016
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuboresha upatikanaji wa huduma katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa kuhakikisha inakuwa na  dawa na vifaa tiba vya kutosha.   Ametoa agizo hilo (Jumamosi, Oktoba Mosi, 2016) wakati alipotembelea hospitali hiyo akiwa kwenye... [Read More]
19 September 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 19 Septemba, 2016 amefanya ziara ya kushitukiza katika Ofisi za Gazeti la Uhuru zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam na kuzungumza na wafanyakazi. Katika Mazungumzo hayo, wafanyakazi wa Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na... [Read More]
16 September 2016
Rais Magufuli amemteua Mhandisi Ladislaus Ernest Matindi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL). Kabla ya uteuzi huu Mhandisi Ladislaus Ernest Matindi alikuwa Mkurugenzi katika Shirika linaloshughulikia masuala ya usafiri wa anga Barani Afrika (EGNOS-Africa Joint Programme Office) lenye makao yake nchini Senegal. Uteuzi huu... [Read More]
16 September 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Mhandisi Emmanuel Korosso kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, imeeleza kuwa uteuzi wa Mhandisi Emmanuel Korosso unaanza mara moja. Mhandisi Emmanuel Korosso anachukua nafasi iliyoachwa... [Read More]
05 September 2016
  SERIKALI imeanza kupokea maoni na ushauri kutoka kwa asasi za kiraia, sekta binafsi na wananchi kuhusu maboresho ya rasimu wa mpango kazi wa kitaifa wa uendeshaji wa shughuli za Serikali kwa uwazi wa Awamu ya tatu (2016/17 -2017/18).   Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Susan... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania