Home » Tanzania

Tanzania

08 November 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Novemba, 2017 amefungua barabara ya lami ya Kyaka – Bugene Mkoani Kagera yenye urefu wa kilometa 59.1 iliyogharimu Shilingi Bilioni 81.597 fedha zote zikiwa zimetolewa na Serikali ya Tanzania.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi... [Read More]
03 November 2017
  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bi Amina Shaban (kushoto) akiupokea ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya, ukiongozwa na Kamishna wa Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo Bw. Neven Mimica (katikati) na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania Bw. Roeland van de Geer, walipokuwa wanawasili Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es... [Read More]
02 November 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Oktoba, 2017 amefungua kiwanda cha kuzalisha bidhaa za plastiki cha Victoria Moulders na kiwanda cha dawa za binadamu cha Prince Pharmaceuticals Co. Ltd vilivyopo katika wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza. Mmiliki wa kiwanda cha Victoria Moulders Bw. Manjit Singn... [Read More]
05 October 2017
RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI WAPYA WA TANZANIA NCHINI MISRI NA ZAMBIA     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 5, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kimkabidhi nyenzo... [Read More]
14 September 2017
#Muswada unapendekeza kutungwa kwa sheria itakayoanzisha Shirika la Reli Tanzania (TRC) ambalo litakuwa na jukumu la kusimamia, kuendeleza miundombinu ya reli na kutoa huduma ya usafiri wa reli - Prof. Makame Mbarawa. #Madhumuni ya muswada ni kuweka mfumo madhubuti wa utoaji huduma ya usafiri wa reli, usimamizi na uendelezaji wa miundombinu ya... [Read More]
14 September 2017
Rais John Magufuli ameivunja Mamlaka ya Usimamizi wa Mji Mdogo wa Kigamboni (KDA) na  sasa shughuli zake zinahamishiwa katika Manispaa ya Kigamboni. Akizungumza leo Jumatano,Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema ametumwa na Rais Magufuli kutangaza uamuzi huo. "Kumekuwa na mgongano katika usimamizi wa ardhi kati ya... [Read More]
14 September 2017
  Na: Thobias Robert Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza rasmi kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha kama ambavyo ilikabidhiwa jukumu hilo kuanzia Julai Mosi 2017 kwa mujibu wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2017. Hayo yameelezwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA Bw. Richard Kayombo alipokuwa... [Read More]
30 August 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda Wamesitisha zoezi la BOMOA BOMOA kwa Nyumba zaidi ya elfu kumi na saba (17, 000) zilizotangazwa KUBOMOLEWA na Baraza la Hifadhi ya Mazingira NEMC. Hatua ya kusitisha zoezi hilo, Imekuja kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar es... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania