Home » Tanzania

Tanzania

01 November 2016
Makamu wa rais apokea ujumbe kutoka Congo Brazzaville
27 October 2016
Forbes wamemtaja Rais Magufuli kama kiongozi ambaye amefanikiwa kuongeza kiwango cha uchumi wa nchi yake huku akishindana na watu wengine kama Michael Le Roux ambaye ni muanzilishi wa Capitec Bank nchini Afrika Kusini, Benki ambazo zimeonekana kuwa rahisi zaidi kutumika na wananchi wa Afrika Kusini. Wengine ni Thuli Madonsela, Ameenah Gulib pamoja... [Read More]
24 October 2016
Mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI, amewasili hapa nchini tarehe 23 Oktoba, 2016 kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Mtukufu Mohammed VI na ujumbe wake ametua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Majira ya saa 11 Jioni na... [Read More]
21 October 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 21 Oktoba, 2016 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni 20 ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa Mwezi Juni mwaka huu wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa maktaba... [Read More]
19 October 2016
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Lindi (LUWASA), Mhandisi Adam Alexander kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi pamoja na kushindwa kusimamia ujenzi wa kituo cha kuzalisha maji katika Manispaa ya Lindi.   Waziri Mkuu amemkabidhi Mhandisi huyo kwa Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Lindi, Bw. Stephen Chami na... [Read More]
18 October 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga ajulikanae kwa jina la Emmanuel Mkumbo. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Emmanuel Mkumbo kuanzia leo tarehe 18 Oktoba, 2016. Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga... [Read More]
15 October 2016
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi  wa Gairo Mkoani Morogoro aliposimama kwa muda alipokua akielekea Mkoani.Dodoma leo
14 October 2016
14 October 2016
Mbio za mwenge mwaka 2017 zitazinduliwa mkoani Katavi na maadhimisho ya kilele cha mbio hizo yatafanyika Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
14 October 2016
Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa China na Tanzania waliofika Ikulu leo kujadili juu ya ujenzi wa reli ya kati.

Pages

Subscribe to Tanzania