Home » Tanzania

Tanzania

17 July 2017
  Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita, leo julai 16, 2017. Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Janeth... [Read More]
11 July 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameipongeza Taasisi ya Mkapa na Mfuko wa Dunia (Global Fund) kwa mchango wake wa kuunga mkono juhudi za Serikali za kuboresha huduma za kijamii kwa wananchi zikiwemo kujenga zahanati, nyumba za watumishi wa afya na shule. Mhe. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo leo tarehe 10... [Read More]
03 July 2017
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo.          Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru... [Read More]
21 June 2017
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na (Takukuru)- imesema inaendelea kukamilisha orodha ya watu watakaopandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuhusika na uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow. Ofisa Uhusiano na Mawasiliano wa Takukuru Makao Makuu, Mussa Misalaba, alisema kwa sasa uchunguzi unaendelea kwa kila aliyehusika, na hatua... [Read More]
20 June 2017
Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuonesha mfano bora katika Bara la Afrika katika kusimamia uchumi na kutetea maslai ya nchi katika uwekezaji. Mhe. Rais Mstaafu Obasanjo ametoa pongezi hizo leo tarehe 20 Juni, 2017 muda mfupi baada ya kukutana na... [Read More]
15 June 2017
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. PAUL MAKONDA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA KUIMARISHA HALI YA JESHI LA POLISI MKOANI DAR ES SALAAM.   Na: Mwandishi wa Matokeo chanyA+ Katika awamu ya kwanza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paulo Makonda amezindua mpango wa kukarabati Magari ya Polisi yanayotumika katika doria. Amepokea magari Mabovu 26 ambayo... [Read More]
14 June 2017
MAKAMU WA RAIS APOKEA TAARIFA YA KIKOSI KAZI KUTOKA MBEYA   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Ndugu Amos Makala ya kikosi kazi cha mkoa wa Mbeya kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya mpaka kati ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na Vijiji kati ya Wilaya ya... [Read More]
14 June 2017
Rais Dkt. Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Profesa John L. Thorton     Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Profesa John L. Thorton Ikulu jijini Dar es salaam. Katika mkutano huo, uliohudhuriwa... [Read More]
12 June 2017
MUHTASARI WA RIPOTI YA KAMATI MAALUM YA
KUCHUNGUZA MASUALA YA KISHERIA NA KIUCHUMI
KUHUSIANA NA MCHANGA WA MADINI UNAOSAFIRISHWA
NJE YA NCHI Utangulizi
Mheshimiwa Rais,
Kama ambavyo Watanzania watakumbuka tarehe 10 Aprili
2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt
John Pombe Joseph Magufuli... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania