Home » Tanzania

Tanzania

07 August 2018
Rais Magufuli Akutana Na Viongozi Wa Baraza La Maaskofu Wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Ikulu Jijini Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu... [Read More]
07 August 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kingwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti 4,2018 huko Manyara.Makamu wa... [Read More]
07 August 2018
  Muonekano wa Viwanja vya Nyakabindi ambako kunafanyika maonesho ya nane nane kitaifa mkoani Simiyu.   Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi Binafsi ya kusaidia Sekta ya Kilimo nchini (PASS) Nicomed Bohay wakati alipotembelea Banda la taaasisi hiyo lilipo katika viwanja vya nane nanemkoani... [Read More]
10 May 2018
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Alphayo Kidata kuwa balozi wa Tanzania nchini Canada kwenye hafla ndogo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 10, 2018  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala... [Read More]
08 May 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 05 Mei, 2018 amefungua daraja la mto Kilombero lenye urefu wa mita 384 lililojengwa pamoja na barabara zake zenye urefu wa kilometa 9.142 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 61.133 zilizotolewa na Serikali ya Tanzania. Kabla ya kukata utepe wa ufunguzi Waziri wa Ujenzi,... [Read More]
19 March 2018
 Sehemu ya wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaoendeshwa na  Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 19, 2018  Sehemu ya Viongozi wa serikali na wafanyabiashara wakiwa katika mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara... [Read More]
16 March 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage mara baada ya kufungua kiwanda cha Sigara cha Mansoor Industries ltd kilichopo chini ya leseni ya Phillip Morris Tanzania katika eneo la Kingolwira mkoani Morogoro. Wa kwanza kushoto ni Meneja Mkuu wa... [Read More]
23 February 2018
Na Leandra Gabriel, Globu ya Jamii. BARAZA la Taifa la usalama barabarani  limetangaza kuanza kwa ukaguzi wa magari madogo ya binafsi nchini nzima kuanzia Machi moja mwaka huu, huku likieleza kuwa linatafuta mfadhili atakayesaidia kufunga kamera kwenye baadhi ya makutano ya barabara ili kuwakamata bodaboda watakaofanya makosa.   Hayo yamesemwa leo... [Read More]
23 February 2018
Zaidi ya wananchi 1200 wa kata ya Kirando inayojumuisha vijiji vinne vya Mtakuja, Mpata, Kichangani na Kamwanda, Wilayani nkasi Mkoani Rukwa, wajitokeza katika kuhakikisha uchimbaji na uwekaji wa msingi wa kituo cha afya cha kirando unakamilika ili kuweza kuanza upanuzi na ujenzi wa kituo hicho kitakachohudumia kata zaidi ya nne katika tarafa ya... [Read More]
23 February 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta wamewaagiza Mawaziri wa Tanzania na Kenya kutatua tofauti ndogondogo zinazojitokeza katika biashara kati ya nchi hizi mbili. Marais hao wametoa maagizo hayo leo asubuhi tarehe 23 Februari, 2018 walipokutana na kufanya... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania