Home » Afrika

Afrika

16 June 2016
Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linasema tangu mwezi Novemba mwaka uliopita, watu 400 wameuawa nchini Ethiopia. Amnesty International inasema watu hao wameuawa mikononi mwa maafisa wa usalama nchini humo kwa kujaribu kuikosoa serikali ya Addis Ababa. Hata hivyo, serikali imetupilia mbali ripoti hiyo na kusema... [Read More]
16 June 2016
Hatimaye Umoja wa Mataifa umeunga mkono juhudi za Kenya za kuwarudisha maelfu ya wakimbizi raia wa Somalia nchini mwao na kufungwa kwa kambi ya wakimbi ya Dadaab. Uamuzi huu umekuja baada ya rais Uhuru Kenyatta kukutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, jinini Brussels nchini Ubelgiji. Kenya imekuwa ikisema... [Read More]
16 June 2016
Hatimaye Umoja wa Mataifa umeunga mkono juhudi za Kenya za kuwarudisha maelfu ya wakimbizi raia wa Somalia nchini mwao na kufungwa kwa kambi ya wakimbi ya Dadaab. Uamuzi huu umekuja baada ya rais Uhuru Kenyatta kukutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon, jinini Brussels nchini Ubelgiji. Kenya imekuwa ikisema... [Read More]
15 June 2016
Mwanasiasa wa upinzani nchini Congo Brazaville aliyewania urais mwezi Machi huu Jenerali Jean-Marie Michel Mokoko, anazuiliwa na maafisa wa usalama.Ripoti zinasema hatua ya kukamatwa kwa Jenerali huyo zimekuja baada ya mwanasiasa huyo kujadili mipango ya kumwondoa madarakani rais Sassou Nguesso kwa ushrikiano na afisa wa Inteljensia kutoka... [Read More]
15 June 2016
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameionya Urusi kuwa, uvumilivu wa Marekani kuhusu vita vinavyoendelea na hatima ya raia Bashar Al Assad kuendelea kuwa madarakani unafika mwisho. Akiwa ziarani nchini Norway, Kerry amesema ni muhimu kwa Urusi kuelekwa kuwa uvumilivu wa nchi yake una mwisho, na kusisitiza kuwa rais Assad ni lazima... [Read More]
15 June 2016
Mahakama jijini Kampala nchini Uganda, imeamua kuwa kingozi wa upinzani kutoka chama cha FDC Kizza Besigye anayezuiliwa kwa kosa la uhaini ashtakiwe Mahakamani, sio katika Gereza la Luzira kama serikali inavyotaka. Kiongozi wa mashtaka amekuwa akishindwa kumfikisha Mahakamani Dokta Besigye kuanzia mapema mwezi huu kwa madai kuwa kufanya hivyo... [Read More]
27 May 2016
Ufaransa na Misri zitaajiri kampuni mbili binafsi kusaidia katika utafutaji wa visanduku nyeusi vya ndege ya Misri MS 804 iliyoanguka baharini juma lililopita wakati ikitoka Paris kwenda Cairo, Wizara ya mambo ya kigeni ya Ufaransa imesema. Msemaji wa wizara hiyo amesema wako katika mazungumzo na kampuni mbili binafsi kwa kushirikiana na serikali... [Read More]
25 May 2016
Gavana wa Kinshasa nchini DRC Andre kimbuta ameruhusu maandamano ya upinzani yaliyopangwa kufanyika kesho siku ya Alhamisi, Mei 26 jijini humo kufuatia mkutano na ujumbe wa jukwaa la upinzani unaotarajiwa kutolewa ikiwa ni pamoja na kupinga hukumu ya Mahakama ya Katiba ambayo inamruhusu Rais Kabila kubaki madarakani ikiwa uchaguzi wa rais... [Read More]
24 May 2016
Umoja wa Ulaya umetoa wito kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuanzisha upya haraka iwezekanvyo mchakato wa uchaguzi na kuelezea wasiwasi wake kuhusu kunyanyaswa na kutishiwa kwa wapinzani nchini humo. Katika mkutano wa mawaziri 28 wa mambo ya nje, Umja huo unaitaka Serikali ya Congo kupiga hatua madhubuti kuelekea uchaguzi kutokana... [Read More]
24 May 2016
Ofisi ya Mwendesha mashtaka nchini Afrika Kusini imekata rufaa hapo jana kupinga uamuzi wa mahakama kuu ulioagiza kurejeshwa kwa kesi za rushwa dhidi ya rais Jacob Zuma. Mahakama nchini humo imedai kuondoa kwa kesi hizo kimakosa mwaka 2009 wiki chache tu kabla ya Jacob Zuma kuchaguliwa kuwa urais wa Afrika kusini.  

Pages

Subscribe to Afrika