Home » Afrika » Uchunguzi wa shambulio lillo igharimu maisha ya wanajeshi 17 mali

Uchunguzi wa shambulio lillo igharimu maisha ya wanajeshi 17 mali

22 July 2016 | Afrika

Maafisa wa usalama nchini Mali wamesema, uchunguzi zaidi unaendelea kufanywa katika mji wa Nampala, kubaini wahusika wa shambulio la hivi karibuni dhidi ya kambi ya jeshi la serikali iliyoko mjini humo, na ambalo liligharimu maisha ya wanajeshi 17 wa serikali.

Kwa upande wake Rais wa Mali Ibrahim Boubakar Keita, amesema serikali yake itafanya kila linalowezekana kuhakikisha shambulio kama hilo halitiokei tena.

Hata hivyo Upinzani nchini humo umeishtumu vikali serikali ya nchi hiyo, ukidai ilizembea katika kuchukua mikakati ya usalama,

Ad