Home » Afrika » Mashirika ya kiraia nchini Burundi, yanasema hawana imani na mratibu wa mazungumzo ya amani nchini humo

Mashirika ya kiraia nchini Burundi, yanasema hawana imani na mratibu wa mazungumzo ya amani nchini humo

16 June 2016 | Afrika

Mashirika ya kiraia nchini Burundi, yanasema hawana imani na mratibu wa mazungumzo ya amani nchini humo rais wa zamani wa Tanzania, Benjamin Mkapa.

Wanaharakati hao wanaotetea watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi, wanasema uamuzi wao unakuja baada ya mratibu huo kukutana na muungano wa vyama vya upinzani CNARED jijini Brussels nchini Ubelgiji.

Wanakosoa hatua ya Mkapa kukutana na wapinzani hao kwa madai kuwa wao ndio chanzo cha ukosefu wa amani nchini mwao.

 

Ad