Home » Afrika » Mahakama jijini Nairobi, imewaachilia huru kwa dhamana wabunge wanane

Mahakama jijini Nairobi, imewaachilia huru kwa dhamana wabunge wanane

17 June 2016 | Afrika

Mahakama jijini Nairobi, imewaachilia huru kwa dhamana wabunge wanane kutoka upande wa serikali na upinzani waliofikishwa Mahakamani kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi

Wanasiasa hao wamefikishwa Mahakamani baada ya kuzuiliwa kwa siku nne.

Kutueleza mengi kuhusu uamuzi huu ni Mwandishi wetu James Shimanyula ambaye alikuwa Mahakamani.

Ad