Home » Afrika

Afrika

26 October 2016
Utafiti uliofanywa nchini DRCongo hivi karibuni, unaonyesha kwamba asilimia 80,4 ya wananchi wa taifa hilo wanapinga muhula wa 3 wa rais Joseph Kabila, huku wengine wakiona kwamba kiongozi huyo anatakiwa kuondoka madarakani Novemba 19 mwaka huu. Huku asilimia kubwa ikiona kwamba iwapo uchaguzi utafanyika nchini humo viongozi ambao hawakushiriki... [Read More]
12 October 2016
Serikali ya Burundi imewapiga marufuku wataalamu watatu wa Umoja wa Mataifa baada ya kuchapisha ripoti iliyoituhumu serikali kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu. Ripoti iliyotolewa na wachunguzi hao ilibainisha maelfu ya watu kuteswa, kunyanyaswa kingono au kutoweka wakati wa machafuko ya kisiasa yaliyotokea tangu Aprili mwaka jana. Watalaamu hao... [Read More]
12 October 2016
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametishia kuvunja upya mahusiano ya kidiplomasia kati ya Rwanda na Ufaransa Mbele ya Bunge Jumatatu Oktoba 10, katika hotuba ya ufunguzi wa mwaka wa mahakama.   Kauli yake inatokana na hatua ya majaji wa Ufaransa kutangaza kufungua uchunguzi kuhusu mauaji ya rais wa zamani wa Rwanda Juvenal Habyarimana tarehe 6 Aprili... [Read More]
04 October 2016
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Joseph Kabila Kabange ameweka jiwe la msingi la jengo la Kituo cha Pamoja cha Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ambalo limejengwa kwa lengo la kuwaweka pamoja wadau wote wanaotoa huduma katika bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni juhudi za kuboresha huduma na kupunguza gharama kwa watumiaji... [Read More]
22 September 2016
Ujenzi wa Daraja la Salender litakalounganisha eneo la Coco Beach na eneo Agha Khan kupitia baharini Jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuanza Mwezi Juni Mwakani baada ya Serikali ya Tanzania kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa fedha za ujenzi kutoka benki ya Exim ya Korea. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema... [Read More]
22 September 2016
Ndege mpya ATCL yawasili  Ndege mpya ya kwanza iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ikitokea nchini Canada ilikotengenezwa. Ndege hiyo aina ya Bombadier Q400 NextGen imetua majira ya saa 6:15 Mchana na kisha kupatiwa... [Read More]
14 September 2016
Rais wa Zambia Edga Lungu ameapishwa hii leo baada ya kuchaguliwa tena wakati wa uchaguzi wa mwezi Agosti. Kuapishwa kwake kunafanyika baada ya upinzani kushindwa katika kesi ya kutaka matokeo ya uchaguzi kubatilishwa. Mahakama ya katiba ilitupilia mbali kesi ikisema kuwa upinzai ulikuwa umeishiwa muda wa kupeleka suala hilo mahakamani. Bwana... [Read More]
12 September 2016
Usalama umeimarishwa kwenye mji wa Mombasa nchini Kenya, baada ya kuuawa kwa wanawake watatu waliotekeleza shambulio la kigaidi dhidi ya Polisi wa kituo kikuu cha pwani ya Kenya. Polisi mjini Mombasa wamesema kuwa wanawake waliohusika kwenye shambulio la kisu na bomu la kutengeneza kwa mkono, walikuwa ni raia wa Kenya na kwamba mmoja kati yao... [Read More]
13 August 2016
KUFAHAMU MATOKEO YA SASA NCHIN ZAMBIA BONYEZA HAPA  
26 July 2016
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema itakamata kiongozi wa upinzani na Gavana wa zamani wa jimbo la Katanga Moise Katumbi Chapwe ikiwa atarejea nchini humo. Katumbi ambaye ametangaza kuwania urais nchini humo yupo nje ya nchi baada ya miezi kadhaa iliyopita kwenda jijini London kutibiwa. Serikali ya Kinshasa kupitia Waziri wake wa... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika