Home » Tanzania

Tanzania

13 January 2016
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika gari maalum alilopanda wakati akiwasalimia wananchi katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan
09 January 2016
#000000">Siku 30 baada ya Serikali ya Tanzania kuzuia matumizi ya picha ya kwanza ya Rais Magufuli, Hatimae picha imetolewa rasmi inayotakiwa kutumika kwenye ofisi za Serikali na zile za binafsi.
08 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Januari, 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu Jijini Dar es salaam. Akizungumza mara baada ya Mazungumzo hayo Rais Mstaafu Mkapa amesema lengo la... [Read More]
07 January 2016
Wananchi Zanzibar  wametoa pongezi  baada ya Kufurahishwa na utendaji wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania  Dk John Pombe Magufuli.
Mzee Suleimani Nzoli Polisi wa Zamani enzi za Ukoloni anasema "Tulikuwa tunaishi kwa uchungu na manung'uniko sana kwa kile kilichokuwa kikiendelea Nchini, rushwa, ubadhilifu na ukosefu wa nidhamu"
07 January 2016
Wananchi kutumia simu zao za mkononi kuhakiki taarifa za ardhi soma zaidi
07 January 2016
Na Greyson Mwase, Dar es Salaam Waziri  wa Nishati na Madini Profesa Sospter Muhongo,  ameiomba nchi ya Norway kuisaidia  Tanzania kupitia mafunzo  hususan katika utafutaji na uchimbaji wa gesi  na mafuta ili kuongeza wataalam wa gesi na mafuta nchini. Profesa Muhongo aliyasema hayo katika kikao chake na balozi wa Norway Nchini Hanne-Marie... [Read More]
07 January 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Geita Gold Mining Terry Melpeter kwenye Uwanja wa Ndege wa GGM Geita baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ya wananchi Mkoani humo leo.

Pages

Subscribe to Tanzania