Home » Tanzania » Killele cha sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52

Killele cha sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52

13 January 2016 | Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika gari maalum alilopanda wakati akiwasalimia wananchi katika kilele cha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 katika Uwanja wa Amaan

Ad