Home » Tanzania

Tanzania

07 January 2016
Wananchi kutumia simu zao za mkononi kuhakiki taarifa za ardhi soma zaidi
07 January 2016
Na Greyson Mwase, Dar es Salaam Waziri  wa Nishati na Madini Profesa Sospter Muhongo,  ameiomba nchi ya Norway kuisaidia  Tanzania kupitia mafunzo  hususan katika utafutaji na uchimbaji wa gesi  na mafuta ili kuongeza wataalam wa gesi na mafuta nchini. Profesa Muhongo aliyasema hayo katika kikao chake na balozi wa Norway Nchini Hanne-Marie... [Read More]
07 January 2016
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Geita Gold Mining Terry Melpeter kwenye Uwanja wa Ndege wa GGM Geita baada ya kukamilisha ziara ya siku mbili ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ya wananchi Mkoani humo leo.
07 January 2016
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijaridhia viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo kasi vilivyopendekezwa na waendeshaji wa huduma ya mabasi yaendayo kasi Dar es salaam (UDART). Akizungumza  leo na waandishi  wa habari, mara baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam... [Read More]
07 January 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu Jijini Dar es salaam. Katika Mazungumzo hayo Rais Mstaafu Kikwete amemtakia Rais Magufuli heri ya Mwaka mpya na kumpongeza kwa uongozi mzuri. Rais Kikwete pia amesema anaunga mkono juhudi... [Read More]
20 December 2015
18 November 2015
Makamu wa Rais , SAMIA  SULUHU  HASSAN amewaomba Viongozi wa Dini kuendelea kuiombea nchi Amani na Utulivu ili Serikali iweze kutimiza Ahadi ilizotoa kupitia Ilani wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu. Akizungumza na Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini kupitia Kamati ya Mahusiano ya Kidini mjini Dodoma, SAMIAH ameshukuru kwa Maombi... [Read More]
18 November 2015
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua  JOB NDUGAI kuwa SPIKA wa Bunge la kumi na moja. Akitoa matokeo mara baada ya wabunge kupiga kura Katibu wa Bunge Dokta. THOMAS KASHILILA amemtaja JOB NDUGAI kuwa amepata Kura 254 ikiwa ni asilimia sabini ya kura zilizopigwa huku GOODLUCK OLE MEDEYE akipata kura 109. Awali Katibu wa Bunge Dokta... [Read More]
18 November 2015
Mkuu wa wilaya KINONDONI, PAUL MAKONDA ameuagiza uongozi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki cha jijini DSM, kuwalipa wafanyakazi wake mapunjo ya mshahara kutokana na uamuzi wa kesi iliyofunguliwa mwaka 2008. Akizungumza na uongozi na wafanyakazi katika kiwanda hicho MAKONDA, amewataka wafanyakazi kusitisha mgomo na kurejea kazini huku akiuataka... [Read More]
16 November 2015
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi- CCM, Dkt JOHN MAGUFULI amevipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri ya kuendeleza utulivu na amni nchini na kuahidi kuboresha maslahi yao zaidi mara baada ya kupata ridhaa ya kuingoza nchi. Dkt. MAGUFULI ametoa pongeza hizo katika wilaya za MKINGA na BUMBULI mkoani TANGA katika... [Read More]

Pages

Subscribe to Tanzania