Home » Tanzania » Kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Mkoa wa Kaskazini Unguja

Kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Mkoa wa Kaskazini Unguja

13 January 2016 | Tanzania

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua Jengo la Wagonjwa wa Nje Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika shamra shamra za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 (wa pili kushoto) Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo Jecha,[Picha na Ikulu.]

Ad