Home » Nje ya Afrika

Nje ya Afrika

04 March 2016
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Staffan de Mistura amepongeza maendeleo ya usitishwaji mapigano, lakii hata hivyo amesema hakuna dhamana ya hali hiyo kuendelea. Hata hivyo Demistura amesema hali ilivyo kwenye uwanja wa mapambano ni tulivu, lakini ni dhaifu, hivyo hakuna dhamana ya utulivu huo kuendelea kushuhudiwa. Vikao vinaendelea... [Read More]
02 March 2016
Wagombea wote wawili wameshinda majimbo ya Alabama, Georgia, Tennessee na Virginia. Bw Trump hata hivyo ameshindwa na Seneta Ted Cruz majimbo ya Texas na Oklahoma. Mgombea wa Democratic Bernie Sanders naye ameshinda kwake nyumbani katika jimbo la Vermont na pia katika jimbo la Oklahoma. Mchujo wa Jumanne Kuu hushuhudia majimbo 11 yakifanya... [Read More]
02 March 2016
Mgombea kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, amesema kuwa dunia ingekuwa mahala salama zaidi kama tu Saddam Hussein wa Iraq na Maummar Gaddafi wa Libya wangelikuwa hai. Tajiri huyo aliyasema hayo katika mahojiano na CNN baada ya kukashifu sera za kidiplomasia za rais Barrack Obama. Trump alisema kuwa maafa... [Read More]
22 February 2016
Serikali ya Ugiriki imesema imeanza juhudi za kidiplomasia kutatua tatizo la maelfu ya wahamiaji na wakimbizi waliozuiliwa katika eneo la mpaka na Macedonia tangu pale nchi hiyo iliponaza kuwazuia wakimbizi kutoka Afghanistan. Zaidi ya wahamiaji elfu tano wanazuiliwa tangu Jumapili katika eneo la Idomeni mji wa mwisho wa Ugiriki kabla ya kuingia... [Read More]
22 February 2016
Polisi nchini Indonesia imekamata meli 27 za kigeni zilizokuwa zikifanya uvuvi haramu, katika hatuwa ya kupambana na Uvuvi haramu. Miongoni mwa meli zilizokamatwa ni pamoja na meli kutoka Ufilipino, Vietnam, Malaisia na Myanamar. waziri anaehusika na maswala ya Uvuvi nchini Indonesia Susi Pudjiastuti amesema meli hizio zilikamatwa zote zikifanya... [Read More]
19 February 2016
Haben Girma ni msichana mwenye miaka 27, kiziwi na kipofu wa kwanza kuhitimu katika shule ya Law (Havard Law School) huko marekani, Haben anagombania haki za watu vipofu na viziwi duniani. Leo hii Haben Girma ni wakili anayepigania haki za watu walemavu. Haben anasema kuwa yeye ni ushahidi kuwa ukiamini unaweza kufanya kitu basi utaweza... [Read More]
17 February 2016
Kansela wa ujerumani Angela Merkel ameeleza kuguswa na hali ya kibinadamu inayoshuhudiwa nchini Syria na kudai kuwa haivumiliki na kurelejea wito wake wa kupiga marufuku ndege za kivita kuruka maeneo ya raia. Kiongozi huyo ameongeza kuwa mashambulizi ya anga yanayoungwa mkono na Urusi mjini Alepo yamesababisha wakazi wengi kukimbia kaskazini mwa... [Read More]
16 February 2016
Alizaliwa tarehe 14 November 1922 – na kufariki 16 February 2016) was an Egyptian politician and diplomat who was the sixth Secretary-General of the United Nations (UN) from January 1992 to December 1996. An academic and former Vice Foreign Minister of Egypt, Boutros Boutros-Ghali oversaw the UN at a time when it dealt with several world crises,... [Read More]
16 February 2016
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw Ban Ki-moon amesema ahadi ya azimio la Umoja huo kwa watu walio kwenye hali duni inapaswa kuendelea kutimizwa. Katibu huyo amesema mwaka wa 2015 ulikuwa ni mwaka wa migogoro, na kutolea mifano ya Syria ma Yemen. Alisema matukio kama hayo ambayo yanakiuka haki za kimsingi za kibinadamu ni kinyume na maazimio ya... [Read More]
15 February 2016
Polisi nchini Indonesia imewakamata zaidi ya watu 30 kutoka makundi ya kijihadi wanaoshukiwa kupanga mashambulizi ya kigaidi nchini humo. Kukamatwa huko kunakuja baada ya taarifa za kinteljensia kuonesha kuwa, washukiwa hao walikuwa wanapanga kutekeleza mashambulizi ya kigaidi katika uwanja wa ndege katika siku zijazo. Aidha, polisi wanasema watu... [Read More]

Pages

Subscribe to Nje ya Afrika