Home » Michezo

Michezo

01 March 2016
KRC Genk imefanikiwa kuifunga Club Brugge mabao 3-2, lakini story kubwa ni kumshuhudia Mbwana Ally Samatta akifunga bao la tatu ambalo lilikuwa ni bao lake la kwanza tangu ajiunge na timu hiyo. Ulikuwa ni mchezo wake wa nne akitokea benchi leo kwenye mchezo ambao Genk walikuwa wakihitaji pointi tatu muhimu huku wakihitaji kumaliza katika nafasi 6... [Read More]
01 March 2016
February 29 uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo  Haji Manara wametangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana nahodha msaidizi wa timu hiyo Hassan Is-haka.
10 February 2016
Wachezaji wa timu ya Leopards wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepewa zawadi ya magari aina ya Prado baada ya kutwaa ushindi wa ubingwa wa Afrika CHAN, kwenye mashindano yaliofanyika nchini Rwanda.
09 February 2016
Mamia kwa maelfu ya wakaazi wa mji wa Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wamemiminika kwa uwingi kwenye uwanja wa kimataifa wa Ndjili kuwapokea Vijana wa timu ya taifa Leopards washindi kwa mara ya pili kwa kutwaa kombe la CHAN mjini kigali nchini Rwanda kwa kuifunga Timu ya Mali mabao matatu-bila. Spika wa bunge la kitaifa... [Read More]
09 February 2016
Mamia kwa maelfu ya wakaazi wa mji wa Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wamemiminika kwa uwingi kwenye uwanja wa kimataifa wa Ndjili kuwapokea Vijana wa timu ya taifa Leopards washindi kwa mara ya pili kwa kutwaa kombe la CHAN mjini kigali nchini Rwanda kwa kuifunga Timu ya Mali mabao matatu-bila. Spika wa bunge la kitaifa... [Read More]
01 February 2016
WAZIRI MKUU AAGIZA KIKAO NA WAKUU WA VYAMA VYA MICHEZO   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuandaa kikao cha haraka na viongozi wa vyama vya michezo nchini ili wamueleze kila mmoja amejipanga vipi kuinua viwango vya michezo katika chama chake.   Ametoa agizo hilo leo mchana (Jumamosi, Januari 30,... [Read More]
21 January 2016
Timu ya taifa ya soka ya Rwanda, imekuwa nchi ya kwanza kufuzu katika hatua ya robo fainali ya michuano ya soka baina ya wachezaji wanaocheza soka katika ligi za nyumbani CHAN. Amavubi Stars imefuzu baada ya kuishinda Gabon mabao 2 kwa 1 katika mchuano wake wa pili siku ya Jumatano jioni hii katika uwanja wa Amahoro jijini Kigali. Hadi sasa,... [Read More]
18 January 2016
Timu ya taifa ya soka ya Guinea inayoshiriki katika michuano ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani CHAN inayoendelea nchini Rwnada, ilitoka nyuma na kusawazisha mabao 2 waliyokuwa wamefungwa na Tunisia katika mchuano wa Kundi C. Mchuano huo uliochezwa katika uwanja wa Nyamirambo jijini Kigali ulimalizika kwa timu zote mbili kufungana... [Read More]
18 January 2016
Kaimu rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA Issa Hayatoue amesema anakabidhi baadhi ya madaraka ya kuongoza soka barani Afrika. Uamuzi wa rais huyo wa FIFA ambaye pia ni rais wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, unakuja kuelekea uchaguzi wa kumpata rais mpya wa FIFA mwezi ujao wa Februari. Miongoni mwa mamlaka aliyoachia ni kuhusu... [Read More]
14 January 2016
Klabu ya soka ya URA ndio mabingwa wa taji la Mapinduzi Visiwani Zanzibar mwaka 2016. URA iliishinda Mtibwa Sugar kutoka Tanzania bara kwa kuifunga mabao 3 kwa 1 katika fainali iliyochezwa Jumatano usiku katika uwanja wa Amman Visiwani Zanzibar. Julius Ntambi alikuwa wa kwanza kuipa URA bao la ufunguzi katika kipindi cha kwanza cha mchuano huo,... [Read More]

Pages

Subscribe to Michezo