Home » Michezo » Simba imemsimamisha kazi nahodha wake msaidizi

Simba imemsimamisha kazi nahodha wake msaidizi

01 March 2016 | Michezo

February 29 uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo 

Haji Manara wametangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana nahodha msaidizi wa timu hiyo Hassan Is-haka.

Ad