Home » Michezo » Wachezaji wa timu ya Leopards wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepewa zawadi ya magari

Wachezaji wa timu ya Leopards wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepewa zawadi ya magari

10 February 2016 | Michezo

Wachezaji wa timu ya Leopards wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepewa zawadi ya magari aina ya Prado baada ya kutwaa ushindi wa ubingwa wa Afrika CHAN, kwenye mashindano yaliofanyika nchini Rwanda.

Ad