Nje ya Afrika
03 February 2016
Shirika la Afya Duniani WHO hii leo siku ya Jumatano limetoa wito kwa nchi za Ulaya kuratibu mpango maalum juu ya kuzuia kuenea kwa mbu wanaosadi kiwa kuwa waenezaji wakubwa wa virusi vya Zika kabla mdudu huyu hajaanza safari yake kuelekea bara hilo la Ulaya.
Afisa wa umoja wa ulaya, Zsuzsanna Jakab amezitaka nchi za Ulaya kuchukua hatua ya... [Read More]
03 February 2016
Rais wa Marekani Barack Obama anatarajiwa kufanya ziara yake ya kwanza katika msikiti mjini Baltimore Marekani, hatua ambayo inachukuliwa kama ishara kuwa serikali ya Marekani haina ubaya wowote na dini ya kiisilamu.
Msemaji wake rais obama amefahamisha kuwa itakuwa ni ziara fupi, ambako atakutana na viongozi wa jamii ya Waislamu na kutoa hotuba... [Read More]
28 January 2016
Sweden imesema kuwa imedhamiria kuutekeleza mpango wa kuwafurusha takriban wahamiaji 80, 000, na baadaye hatua itafuta maombi yaliyotolewa na wahamiaji kupewa hifadhi nchini humo, wizara ya mambo ya ndani nchini humoi imesema.
Kwenye mkutano na waandishi wa habari mjini Stokholm Waziri wa mambo ya ndani wa Sweden Anders Ygeman amesema mpango huo... [Read More]
27 January 2016
Mgombea urais wa Marekani anayewania kuchaguliwa na chama chake cha Republican Donald Trump hatashiriki mjadala wa siku ya Alhamisi unaorusha kwa njia ya televisheni, hatua inayokuja siku nne tu kabla ya jimbo la Iowa kuanza mchakato wa uteuzi.
Trump anayewania kuteuliwa na chama chake, aliweka hadharani wazo lake la kujiondoa katika mjadala huo... [Read More]
18 January 2016
Raia watatu wa Marekani walioachiwa huru na utawala wa Iran kama sehemu ya mabadilishano ya wafungwa, wamewasili nchini Ujerumani ambapo wanatarajiwa kusafirishwa hadi kwenye kambi ya kijeshi ya Marekani.
Wafungwa hawa wote walioachiwa wana uraia wa nchi mbili za Iran na Marekani, waliwasili nchini Ujerumani saa chache baada ya kutua kwa muda... [Read More]
18 January 2016
Rais wa Marekani Barack Obama na mwenzake wa Iran Hassan Rouhani, wamepongeza hatua ya kihistoria iliyofikiwa mwishoni mwa juma ambapo nchi za Magharibi zimetangaza kuiondolea vikwazo vya kiuchumi nchini ya Iran baada ya tangazo la tume ya umoja wa mataifa ya Atomic IAEA kuthibitisha Iran kutimiza masharti ya kupunguza urutubishaji wa Urani.
IAEA... [Read More]
05 January 2016
Rais wa Marekani, Barack Obama hii leo anatarajiwa kutumia madaraka yake ya juu kuchukua hatua kuhusu udhibiti wa silaha, akiacha kutumia bunge la Congress, hatua inayoashiria kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mgumu kwa chama chake.
Mwaka uliopita rais Obama alionesha waziwazi kitofautiana na wanasiasa wanaopinga mapendekezo yake, ambapo aliahidi... [Read More]
05 January 2016
Nchi ya Marekani imetangaza kuwa hivi karibuni itafunga rasmi kituo chake cha kijeshi cha operesheni za ndege zisizo na rubani, kilichoko kusini mwa nchi ya Ethiopia.
Kituo hicho ambacho kipo umbali wa kilometa 400 kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kimekuwa kikitumika toka mwaka 2011, kutekeleza mashambulizi dhidi ya wapiganaji wa... [Read More]
22 November 2015
Rais wa Marekani Barack Obama amesema yeye huwa hapaki rangi nyele zake kuficha mvi kama viongozi wengine duniani.
Kiongozi huyo wa umri wa miaka 54 alikuwa akimjibu mwanafunzi mmoja kutoka Cambodia aliyekuwa amemuomba ushauri wa busara.
Bw Obama aliingia mamlakani 2009 akiwa na nywele nyeusi lakini miaka ilivyosonga ameanza kuwa na mvi nyingi.... [Read More]