Michezo
06 April 2021
Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki.
Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata watazamaji milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube.
Kwa karibu anafuatwa na Davido akiwa na... [Read More]
14 August 2017
YALIYOJIRI WAKATI WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO MHE.DKT. HARISSON MWAKYEMBE ALIPOKUTANA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA MOROCCO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA,LEO TAREHE 14 AGOSTI 2017
#Ujumbe huu wa Wataalamu unajumuisha Waandisi, wasanifu wa majengo na wataalamu wa udongo.
#Ujumbe huu ni matokeo ya ziara ya kihistoria ya mfalme Mohammed... [Read More]
16 August 2016
Bingwa wa mbio za mita 800 duniani David Rudisha ametetea medali yake ya dhahabu katika mbio hizo kwenye mashindano ya Olimpiki kwa kushinda fainali Jumatatu usiku Rio de Janeiro.
Kwa ushindi huo Rudisha ametetea medali yake ya dhahabu aliyoshinda katika michezo ya Olimpiki ya London 2012. Kwa ushindi huo pia Rudisha ameipatia Kenya medali ya pili... [Read More]
12 August 2016
#q=rio+olympics&mie=oly%2C%5B%22%2Fm%2F03tnk7%22%2C1%2C%22o%22%2C1%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2Cnull%2C0%5D">BONYEZA HAPA
12 August 2016
When Almaz Ayana crossed the finish line after obliterating – and that is a major understatement – the world record in the women's 10,000m, it looked like she could do it all over again, so fresh did she look after putting up one of the greatest performances you will ever see in the Olympics.
The athletics event of the Rio 2016 Olympics had its... [Read More]
09 June 2016
Dunia imealikwa kuhudhuria msiba wa Muhammad Ali, kwenye mji alikozaliwa siku ya Ijumaa ambako maisha ya nguli huyu wa masumbwi yatasherehekewa huku uma ukipewa nafasi ya kushiriki mazishi na ibada ya kumbukumbu, amesema msemaji wa familia ya Ali.
Muhammad Ali, bingwa mara tatu wa uzito wa juu duniani na mwanaharakati wa haki za binadamu ambaye... [Read More]
24 May 2016
Fainali za Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zinatarajiwa kufanyika kesho Mei 25, 2016 kwa kuzikutanisha timu za Young Africans na Azam FC; zote za Dar es Salaam katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini.
Sherehe za mchezo huo zitaanza rasmi saa 8.00 mchana kwa mchezo wa awali wa kuburudisha kuzikutanisha... [Read More]
21 April 2016
Rais wa zamani wa Shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter mwaka uliopita alijaribu kuwa mpatanishi katika mzozo wa Burundi kumshawishi rais Piere Nkurunziza kutowania urais kwa muhula wa tatu, lakini hakufanikiwa.
Hili nimebainika baada ya kuzinduliwa kwa kitabu kumhusu Blatter.
Blatter ameeleza katika kitabu hiki kuwa Wizara ya Mambo ya nje... [Read More]